album cover
WeekenD
39
R&B/Soul
WeekenD은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2020년 5월 29일일에 Steph Kapela & Callivan Creatives에서 발매되었습니다.Vikky Secrets
album cover
발매일2020년 5월 29일
라벨Steph Kapela & Callivan Creatives
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM179

크레딧

실연 아티스트
Steph Kapela
Steph Kapela
실연자
작곡 및 작사
Steph Kapela
Steph Kapela
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Ivan Odie
Ivan Odie
프로듀서
Festus Spain
Festus Spain
프로듀서

가사

Usiku wa ijumaa, kwangu ndo mpango
Mziki na mishumaa kam uone mambo
Kam na charger, mavazi za siku mbili
Siezi kuacha, home mpaka Jumapili
Si wawili, pilipili, sio siri tulichoma CV
Nikitazama na zama na zima tv, ni weh wanifanya hivi, yea
Mi sina kiu sina njaa, nadishi kama mi mudosi, nambeleza masaa, nadishi mpaka Jumamosi
Ka tamaa ni makosa, nimekosa, niwie radhi baby
Mwingine nimekosa, kamu closer, niingie ndani baby
Ka tamaa ni makosa, nimekosa, niwie radhi baby
Nyama ya ndani baby, nipe samosa
Baby anadai weekend-D (Baby anadai wikendi)
Baby anadai weekend-D (Baby anadai wikendi)
Tupatane hii wikendi (Come utapata weekend-D)
Ka si kila siku, basi killer yuko pending (Ka si kila siku, basi ni killer wikendi)
Juma tatu kila mtu njia zake, kwa sasa kila mtu ana kwake
Kumbukumbu za wikendi zikufwate, zikikulemea zilete nizikamate
Nipe dakika chache, mi si mjinga niziache
Ngozi nyororo ni ka Versace, mbali sana na ma rachet, bei kali don't touch it, yea
Vile nakuchonga tangu breko mpaka supper
Vile umeniroga, nasahau ni nani rapper, vile nazigonga wangedhani nakuchapa
Vile nimebonga mi nadhani umenipata, yea
Cheza nayo, cheza nayo cheza
Cheza nayo, cheza nayo cheza
Na ka unaweza wekelea ya kwa meza
Zikiniweza, meza-meza-meza
Cheza nayo, cheza nayo cheza
Cheza nayo, cheza nayo cheza
Na ka unaweza wekelea ya kwa meza
Zikiniweza, meza-meza-meza
Cheza nayo, cheza nayo cheza
Cheza nayo, cheza nayo cheza
Na ka unaweza wekelea ya kwa meza
Zikiniweza, meza-meza-meza
Written by: Steph Kapela
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...