뮤직 비디오

Kusah - Hapana (Official Music Video) SMS SKIZA 8090716 to 811
{artistName}의 {trackName} 뮤직 비디오 보기

크레딧

실연 아티스트
Kusah
Kusah
실연자
작곡 및 작사
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
송라이터

가사

Hata waseme nini sikuachi Ndio kwanza umepanda na chati Umenidhibiti umeshika na shati Umeshinda umevunja kamati Mwenzio umejitoa mhanga Kwenye huba lako Nichape nipeleke utakavyo Mimi punda wako Sitoshika simu yako Ila shika yangu nimekubali Hao hao wafiki zako Wanokusema mimi sikubali Eti wanasema... Mara unagawa kwa vipande Oh unakwenda kwa mpalange Eti sikwezi nikajipange Mara nikuache ukadange Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana Hushangai nishakufumania Ila bado nimeng'ang'ania Penzi lako limenizidia Na mwaka huu watanizika Na si walisema kwamba hubebeki Leo nakubeba yaani kudadeki Mmh afe kipa au afe beki Nishakuwa wako liwalo liwe Sitoshika simu yako Ila shika yangu nimekubali Hao hao wafiki zako Wanokusema mimi sikubali Eti wanasema... Mara unagawa kwa vipande Oh unakwenda kwa mpalange Eti sikwezi nikajipange Mara nikuache ukadange Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out