가사

Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi. Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi. Wale tisa sijui, Ila mimi nimekuja kusema Asante! Najiuliza, Nikulipe nini? Kwa yote ulonitendea mimi, Baba ni mengi, Siwezi lipa hata kwa senti. Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa, Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa, Ee Baba, Nikulipe nini, nikulipe nini? Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu! Ila nina neno moja, ASANTE. Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu! Ila nina neno moja, ASANTE. (Uliyonitendea...) Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu! Ila nina neno moja, ASANTE. Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu! Ila nina neno moja, ASANTE. Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu! Ila nina neno moja, ASANTE. Nachojuaga, hua unaongezaga. Kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru! Nachojuaga, Hua unaongezaga zaidi(zaidi) Sikushukuru tu kwa haya uliyotenda, Ila, Hata kwa yale ambayo hujayatenda, Huku nikiamini, Shukurani ni sauti ya imani! Fedha (Haitoshi kukushukuru), Dhahabu (Haitoshi kukushukuru), Ee Baba, Nikulipe nini, nikulipe nini? Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu, Ila nina neno moja, ASANTE. Uliyonitendea ni mengi, Siwezi kuhesabu! Ila nina neno moja, ASANTE. (Shukurani) Shukurani,imebebwa, kwenye neno moja, ASANTE. (Shukurani) Shukurani, imebebwa, kwenye neno moja, ASANTE. Shukurani, imebebwa, kwenye neno moja, ASANTE. Shukurani, imebebwa, kwenye neno moja, ASANTE.
Writer(s): Paul Clement Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out