가사

Mmmh mmh mh Bboy Yeah! Watoto wangu nyie mimi baba yenu Nina nguvu sana za kuua hata simba Simba na makali yote Akimuona tembo anachimba Ila hainivimbishi kichwa Nachapa kazi siendekezi majungu Riziki anayegawa ni Mungu Eti niende kwa mganga piga nyungu Nimroge fulani awe pungua aah Mungu akikupa kilema Lazima atakupa na mwendo Lipiza mabaya kwa wema Kuna maisha bila upendo Umdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi Yeah, this life is a gamble Basi jitahidi kuwa humble Usimdharau mama wa kambo Huenda alisha kusave kitambo Husia, huu ni usia, usia wa tembo Hii dunia tunapita Huu ni usia, usia wa tembo Usiendekeze vita Huu ni usia, usia wa tembo Usijione special special Huu ni usia, usia wa tembo Jua hauijui kesho kesho, kesho wowo Ukikosa elimu bora Sio mwisho wa maisha yako Na kuishi chini ya dola Wala hailkuwa matakwa yako Cha mtu ni mavi Achana nacho tafuta chako hata kichelewe Uaw na meza amajamvi didhika na ulicho nacho Omba kwa mungu upewe kingi Usijione queen ama king Na kukisifu akili nyingi Kisa unamiliki shilingi, shilingi Mmh! Punguza idadi ya maadui Maana atakae kuzika humjui Mmh! Mwambie huyo paka anaejiita chui Acha kudandia bifu chanzo hukijui Kumdharau usiemjua ni dhambi, dhambi Mtangulize mungu na dua popote kambi, kambi Yeah! This life is a gamble Basi jatahidi kuwa humble Usimdharau mama wa kambo Huenda alishakusavu kitambo Usia, huu ni usia, usia wa tembo Hii dunia tunapita Huu ni usia, usia wa tembo (oh woow) Usiendekeze vita Huu ni usia, usia wa tembo Hakuna haja ya kutunishiana misuli Huu ni usia, usia wa tembo Dunia hakuna anaeijua vizuri zaidi ya mungu baba Mungu baba baba baba Usia wa tembo Konde boy
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out