유사한 곡
크레딧
실연 아티스트
Jay Melody
실연자
Sharif Saidi Juma
코러스 감독
작곡 및 작사
Sharif Saidi Juma
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Mr. LG
프로듀서
Sharif Saidi Juma
프로듀서
가사
Olala
Mr. LG
Oh! oh! Ananipa changamoto kila muda namuazia ooh
Hadi nakua ka mtoto ninavyo pelekwa nakuambia ooh
Penzi lina nichanganya sweet anawasha moto
Ikokipigo mkongoto punguza kasi naumia
Ah! Ah! Oh my baby nzela oh nzela wa jenjembe (jenje)
Nipe ya kapera ya utamu wa embe embe (embe)
Oh my baby nzelayo nzela wa zoloo (zolo)
Nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Kaniminya kaniminya kanibana kanichota mzima eeh
Kichwani minajaa mawenge anauchezesha mtima
Mwenzako napenda vibaya sijakupenda bahati mbaya
Nadata nakoma na haya unanifanya kitu mbaya yaiya yaiya yaiya yaiya
Oh my baby nzela oh nzela wa jenjembe (jenje)
Nipe ya kapera ya utamu wa embe embe (embe)
Oh my baby nzelayo nzela wa zoloo (zolo)
Nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
(The Mix Killer)
Mr. LG
Writer(s): Jay Melody
Lyrics powered by www.musixmatch.com