album cover
WANJAPI 2
2
힙합/랩
WANJAPI 2은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2022년 6월 14일일에 NEVER DIE RECORDS에서 발매되었습니다.WANJAPI 2 - Single
album cover
발매일2022년 6월 14일
라벨NEVER DIE RECORDS
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM99

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

작곡 및 작사
Uncojingjong
Uncojingjong
작사가 겸 작곡가

가사

Mbogi yote deep bling, tumepiga luku fisa na madini
Kaa bila finyo tukiadisia mabling
Na minoko zote ni mangoto ka sita
Big black mister bling back mister big pole insta bad ka batista
Fresh na di area, rada tukipita
Tushapiga luku kuja tukule mapicha wanjapi
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi
Piga luku kula mboto jump inna di photo
Ni kama kuna joto vidole ni mangoto
Mangoto moto moto, kwa mkono wa kushoto
Clarks pon clarks ah mi gang fi di shine
Mambati kwa wingi sijaomba ni za mine
Lagunya Delta ma cat ziko fine
Ka gwanda si oriji don't waste my time
Mi tell my man say, tangu lini niparare mimi aje?
Aah kombato usijali sanse halafu pale ig wakule update weeh
Daily ni kaa ni Sunday maziwa mini na kajale aah
Luku nilipiga ngware utanipata na ingine tena afte aah
Fine ting niko freshi, thutha na majegi
Comrade huna ticki?
Kanairo utaishi aje luku nayo haitesi?
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi
Piga luku kula wa wa
Big baba nina mambwenya kila kaala
Lola tisho jinare na gwanda
Look fisa ju kuparara ni swara
Luku diriba shingo inamwagika silvеr
Ig iliboo after Vera apate mimba
Umedunga nini ma Nike ama Addidas?
Pandisia ma Tommyhilfigure
Ebu smile for the camera aha aha
Ni safi ju ni fast camera ehe ehe
Step out all white kama table salt
Mangoto mingi ady siezi kuona my fingers crossed
Uki step on my J's sema iza
Gikosh na toy si Garissa
Zero ngovo na zile Fubu za Issa
Men i've been fly kabla fb na insta baba
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi
Sijui ni sijui ni sijui ni sijui ni tusker au ni pilsner hivi? Aaai
Ndio inafanya naona mbili mbili
Ate kee? Unataka nini? Aaai
Kunipenda manze hiyo ni tricky aaai
Bila uber kuna piki piki
Halafu usitense basi take it easy aaai
Sijui nibaki au nikuje hivi aaai
Manze nimekunoki nimechizichizi aaai
Nacheki buda niko stu aai
Tena shashamane aah aah hi ni flu aah
Wethe na ka shash na nimedi na crew
Vile nimecladi wamepiga statue
Manjapi na mashosho buda hadi babu
Piga luku kula mboto ndio wajue iko new
Bet na madid odds kidogo Man U
Ati "What are we?" Kwanza "Who are you?" Aaai
Written by: unco jingjong
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...