가사

Uhuhu willy willy willy msafi Noma moto ngoma noma yani kali Msela kali ngoma noma mhh(Teddy B) Aa nana nanananana nananaaii nanananai Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali Vigele vigele vigele vigele vigelegele eeh Vigele vigele vigele vigele vigelegele eeh Nakuonya we Nyambura usijaribu nikaribia Ata na wewe Anyango Nimeshaonyeshwa nia yako Mwataka kuniweka chini Futi kumi na mbili Nimekosa nini Kosa nimekosa nini Mwataka kuniweka chini Futi kumi na mbili Nimekosa nini Mapenzi yangu ni ya mwenyezi Noma ngoma noma Yani kali msela kali Ngoma noma noma sana(lego) Aa nanananai nananai Nanananai nanananai Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali Vigele vigele vigele vigele vigelegele eeh Vigele vigele vigele vigele vigelegele eeh Mi awilly a Awilly Nimekosa nini a awilly Simuniwachane a awilly Nimusifu Mungu a awilly Ye ndiye baba a awilly (Ziing)mwanisema mimi i Nimekosa nini i Mwataka kuniweka chini i Futi kumi na mbili i Nimekosa nini i Mapenzi yangu ni ya mwenyezi Noma ngoma noma yani kali Msela kali ngoma noma noma sana leego Nana nananai nananai Nanananai nananai Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali Vigele vigele vigele vigele vigelegele eeh Vigele vigele vigele vigele vigelegele eeh Mhhhh kwa masela wote wanapenda Mola Nipe mikono juu tumsifu Mola Tusifu sana mhhh Noma ngoma noma Yaani moto ya zambe Noma ngoma noma Yani noma noma sana msela kali ngoma kali aha oho aha aha
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out