뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Rayvanny
Rayvanny
보컬
Lava Lava
Lava Lava
보컬
Mbosso
Mbosso
보컬
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
보컬
Harmonize
Harmonize
보컬
Queen Darleen
Queen Darleen
보컬
Rich Mavoko
Rich Mavoko
보컬
작곡 및 작사
Rayvanny
Rayvanny
송라이터
Lava Lava
Lava Lava
송라이터
Mbosso
Mbosso
송라이터
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
송라이터
Harmonize
Harmonize
송라이터
Queen Darleen
Queen Darleen
송라이터
Rich Mavoko
Rich Mavoko
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Lizer Classic
Lizer Classic
프로듀서

가사

[Intro]
Ooh! hizo ni zama za kale
Ooh! Sangulo na pepe kale
Zilipendwa
[Verse 1]
Eh! Kizamani, kutoa card na maua (Zilipendwa)
Wanataka money ukilipa unakwarua (Zilipendwa)
Ufundi kitandani, sio maguvu kujikamua (Zilipendwa)
Unafika ndani, hujatomasa unachanua (Zilipendwa)
[Verse 2]
Wanawake wa leo wanataka mikakati
Ukiwa mzugaji haki ya Mungu huwapati (Zilipendwa)
Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (Zilipendwa)
[PreChorus]
Eeh! kupiga chabo getto (Zilipendwa)
Mkono na dettol (Zilipendwa)
Sunche na kapeto (Zilipendwa)
Majay na Mobeto (Zilipendwa)
[Chorus]
Oooh! Hizo ni zama za kale
Oooh! Sangulo na Pepe kale
[Chorus]
Mmm bolingo ndombolo (Zilipendwa)
Twanga chipolopolo (Zilipendwa)
Na maji ya kandoro (Zilipendwa)
Simba wa Morogoro (Zilipendwa)
[Verse 3]
Tani sipati sukari guru kabisa (Zilipendwa)
Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latifa (Zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifa (Zilipendwa)
Siku hizi party hatuendagi Kibiza (Zilipendwa)
[Chorus]
Mpira na Pele (Zilipendwa)
Tanu na Nyerere (Zilipendwa)
Asha Ngedere (Zilipendwa)
Arusi mabele (Zilipendwa)
[Verse 4]
Eti, uuze nyumba uweke heshima bar
Eti, ulazimishe aliyekukataa
[PreChorus]
Sabuni kicherema (Zilipendwa)
Mabanda ya cinema (Zilipendwa)
Lipumba na lema (Zilipendwa)
Diamond na Wema (Zilipendwa)
[Chorus]
Ooh hizo ni zama za kale (Zama za zamani)
Ooh Sangulo mapepe kale (Yoyoyo)
[Chorus]
Mmm na sogi dogg (Zilipendwa)
Chanel analogy (Zilipendwa)
Movie za saibogy (Zilipendwa)
Van Dame, Anod (Zilipendwa)
[Verse 5]
Una nibeep nikupigie umeiweka vocha (Haloo)
Ule wewe nilipe mie umeniona lofa
Tena na madada wenye majina acheni visa
Unaitwa ukale diner mnakwenda Tisa
[PreChorus]
Nywele za kichina (Zilipendwa)
Pochi za kuazima (Zilipendwa)
Zena na betina (Zilipendwa)
Bashite gwajima (Zilipendwa)
[Chorus]
Ooh hizo ni zama za kale (Zama za zamani)
Ooh Sangulo mapepe kale (Sangulo lololo)
[Chorus]
Mm Amitabh Bachchan (Zilipendwa)
Tv kwa jirani (Zilipendwa)
Madee Rayvany (Zilipendwa)
Zari Ivan (Zilipendwa)
[Verse 6]
Yanini kunichunguza naish wapi (Zilipendwa)
Nala, chapati kwa maini au makange (Zilipendwa)
Kutwa kunikalia chini unakamati
Oh yarabi masikini kuni dhihaki
[Chorus]
Ah samba mapangala (Zilipendwa)
P Funk Kajala (Zilipendwa)
Onyango na Jangala (Zilipendwa)
Rufufu mkandala (Zilipendwa)
[Verse 7]
Vya nini vidomo-domo tutupiane tunguli
Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli
Ah, Bongoman yondo (Zilipendwa)
Sikinde Msondo (Zilipendwa)
Magari ya udongo (Zilipendwa)
Babu wa Loliondo (Zilipendwa)
[Chorus]
Ooh hizo ni zama za kale (Zilivumaga sana)
Ooh Sangulo na pepe kale (Ololo yoyoyo)
[Chorus]
Ah Tv za kichogo (Zilipendwa)
Wakina Man Dojo (Zilipendwa)
Jigi na Iyobo (Zilipendwa)
Akina hatupogo (Zilipendwa)
[Verse 8]
Eti msiba ukiona bundi unataka kupagawa
Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
Zuwena nitampata wapi (Zilipendwa)
Zuwena wa zile nyakati eh (Zilipendwa)
Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
[Chorus]
Iddi Amini dada (Zilipendwa)
Miuno ya H. Baba (Zilipendwa)
Domo chai jaba (Zilipendwa)
Michezo ya kibaba-baba (Zilipendwa)
[Verse 9]
Wale wapiga deal sasa hali mbaya (Zilipendwa)
Hizi zama za Magufuli si za Jakaya (Zilipendwa)
Ugomvi wa Mr. Nice na Dudu Baya (Zilipendwa)
Vikatuni vya madenge baba ubaya (Zilipendwa)
[Verse 10]
Muhogo mchungu Mr. Bean, wapi bambo
Wale wazamiaji wale wa melini wazee wang'ambo
Hivi yuko wapi Benjamini wa Mambo Jambo
Wa Vietnam waporini vita na Rambo
[PreChorus]
Eh ndanda Mjela jela (Zilipendwa)
Kidali Kombolela (Zilipendwa)
Max na Zembwela (Zilipendwa)
Juma Nature na Fela (Zilipendwa)
[Chorus]
Ooh hizo ni zama za kale (Zama za zamani)
Ooh Sangulo mapepe kale (Kale yoyo)
[Chorus]
Mm kamanda Daz Nunda (Zilipendwa)
Kalumanzila Ndumba (Zilipendwa)
Simu za dole gumba (Zilipendwa)
Johari na Kanumba (Zilipendwa)
[Outro]
Zilipendwa, zilipendwa
Zilipendwa, zilipendwa
Ohlilelelilee (Zilipendwa)
Written by: Diamond Platnumz, Harmonize, Lava Lava, Mbosso, Queen Darleen, Rayvanny, Rich Mavoko
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...