album cover
Simu
19,521
힙합/랩
Simu은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2022년 11월 11일일에 Sony Music Entertainment East Africa에서 발매되었습니다.Simu - Single
album cover
발매일2022년 11월 11일
라벨Sony Music Entertainment East Africa
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM92

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Young Lunya
Young Lunya
실연자
작곡 및 작사
Rashid Shabani
Rashid Shabani
작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Paul John Makingi
Paul John Makingi
프로듀서

가사

[Verse 1]
Ring-ring, kila saa napokea simu
Zinapigwa kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring-ring, na zinatoka kila seheme
Nyingine za machizi na nyingine za mademu
[Verse 2]
Cheki, code juu ya bajeti
Mwili unanukia maarufu ambayo hayaelezeki
Na ukiona tunavaa mavyeni sio mavyeni feki
Miwako kama tuko mamtoni kudadadadeki
[Verse 3]
Zinazonichanganya simu za mama zako sasa
Imetoka simu ya Samantha inayoingia ni ya Natasha
Watoto wa kike wananielewa vizuri haswa
Maana nawawasha na wanalijua dudu washawasha
[PreChorus]
Simu za leo unakula bata wapi ndo zinachosha
Kuna majina yakiita unaweza simu ukaidondosha
Kuna simu zikiingiaga huwa zinanikosha
Kama simu ya tajiri abasi na ya kadogosa
Ipigwe simu ya capo simu pisi zipate dozi
Ipigwe simu ya pigi au simu ya wakuball
Au ipigwe simu ya mwenye nyumba akukate pozi
Usiombe ipigwe simu ya prez tito au ya frank knows
[Chorus]
Yani sikuhizi simu zinaitaa
Sikuhizi simu zinaitaa
Mama la mama zinaitaa
Wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuhizi simu zinaita (Kkrr, kkrr)
Mama la mama zinaita (Kkrr), wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuhizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuhizi simu zinaita
[Verse 4]
Yani siku hizi simu nyingi sanaa za kumwaga wino
Sikuizi naonekana sanaa kama nakaa kino
Pesa tunavyozisaka ni jino kwa jino
Ukiona tupo high ujue ni simu ya kapachino
[Verse 5]
Upoaji ni lazima simu ya panda
Pisi zetu nao kutwa na simu za kudanga
Mataprli wanatujua na simu za kupanga
Wachawi wanateseka sanaa na simu za waganga
[Verse 6]
Nishakataaga masimu za bia
Nishapataga simu bebe inapiga inalia
Nishapitiaga matukio siwezi kuhadithia
Na nshakuwa sipigiwi skuzi simu zinafika hadi mia
[Verse 7]
Simu za virungu huwa hazikosi
Saa hivi zinazoita sana ni simu za maboss
Ukiona nimepata jimama ujue jimama boss
Hapo zitapigwa simu mpaka zitokee kwenye utosi
[Verse 8]
Simu ya diamond dash simu ya rama sa
Simu ya mwamba makini simu ya mwanafa
Simu ya dully ujue misifa tuu niwaelezee
Ubaya mi huwa sina simu nyingi za mapedeshe
[Chorus]
Yani sikuhizi simu zinaitaa
Sikuhizi simu zinaitaa
Mama la mama zinaitaa
Wana kwa wana zinaitaa
Yani sikuhizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuhizi simu zinaita (Kkrr, kkrr)
Mama la mama zinaita (Kkrr), wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuhizi simu zinaita (Kkrr), sikuhizi simu zinaita (Kkrr)
Sikuizi simu zinaita
Written by: Rashid Shabani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...