album cover
Asante
album cover
Asante은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2022년 12월 2일일에 7HEAVEN MUSIC에서 발매되었습니다.Arise and Shine
2022년 12월 2일
라벨7HEAVEN MUSIC
BPM101
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Alinifunza mama, unachotaka kupata maishani
Lazima uwe nacho, lazima ukiwaze akilini
Alinifunza mama, utakachopata siku za usoni
Nikile uwazacho, kile ulicho nacho akilini
Kuna yule anataka kupata mume mzuri, mke mzuri
Waishi naye kwa furaha, furaha, furaha, furaha
Kuna wale wanakesha kuomba waweze kupata mtoto mzuri
Waishi naye kwa furaha, furaha, furaha, furaha
Ai, kuna yule anataka kupata nyumba mzuri, na gari mzuri
Maisha yawe ya furaha, furaha, furaha, furaha
Ila mipango ya mungu ni different, different
Wewe kupata kukosa ni his intend, his intend
Anachopanga kukupa ni different, different
Inakubidi uamini his intend, his intend
Asante (Sana), hata kama nimekwama (Sana)
Asanta (Sana), kwa mazuri na mabaya (Sana)
Asante (Sana), kwa huzuni na furaha (Sana)
Asante (Sana), boombshaka oh lalala (Sana)
Nikiwa mchanga nilipanga niwe doctor, kumbe Mungu naye alipanga iwe music doctor
Ndio nikiimba watu wanakoka, mapepo natoka, wafu wanafufuka
Tk naye alipanga tofauti, na Mungu naye kamfanyia tofauti
Na sasa ndio anaitumia kumtumikia na kufanya maisha ya watu kuwa tofauti
Kweli mipango ya mungu ni different, different
Wewe kupata kukosa ni his intend, his intend
Anachopanga kukupa ni different, different
Inabidi kuamini his intend, his intend
Asante (Sana), hata kama nimekwama (Sana)
Asanta (Sana), kwa mazuri na mabaya (Sana)
Asante (Sana), kwa huzuni na furaha (Sana)
Asante (Sana), oh lalala (Sana)
Written by: PETER OMWAKA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...