가사

Falsafaa Konde boy call me number one Falsafa baba Gachi B Hela sio matako kwamba kila mtu anazo Zilipo Mwanangu usilete Mchezo Kuwaza Hela Hakuna Kwenda Likizo Hasa wenzangu na mimi Ambao hatukuzaliwa nazo Eti hazileti furaha ukiwa sikiliza shauri yako Sio swala la mjadala hii ndo iwe ramani yako Eeeh pambana ziwe zako Pigana mwana mpaka wachange jina lako Tunawatolea sadaka sadaka tunazopata Laana zinatuepuka dua mbaya zinaturuka Hata ufahamu kwanini wananiita baba Roho tisa kama za paka I'm ma brothers keeper The white collar Don kama Paul Castellano Wanatangulia kufunga ila sipotezi mapambano Usiende mbali kumbuka kuna kurudi Mayai yote kapu moja man karibu unabugi Moyo wa Champion sioni competition Mitihani ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition AKA ya ulimwengu Ninayekutia fimbo za ugoko Ka hukufunzwa na mama ako Shauri yako Mi sina time ya kupoteza Ngoma ya mtu siwezicheza So usiponiona usiulize Jua tu niko bize Nazichanga si kwa ubaya Mi sina time ya kupoteza Ngoma ya mtu siwezicheza So usiponiona usiulize Jua tu niko bize Nazichanga si kwa ubaya Ukiwa na siku ya kutafuta na ya kupata ipo Ridhiki hatoi baba ako kwamba itakufuata ulipo Nakutia moyo kukata tamaa mwiko Sio lele mama ilibidi mnagombea fito Penda hela usiziabudu usivukwe na utu Roho yako ya chuma usiache iwe kutu Sheria msumeno lakini haichani dhiki Mawe yameiva na mkaa bado umebaki Pesa hainunui furaha ufukara unanunua nini Mi nakimbiza hela mademu mewaachia nyinyi Hizi si habari za mjini ni habari zangu mimi Maisha hayana subtitle sio lazima uniamini Pata hela maadui zako wanune Usihofu life manigga mipunga ndo nguvu za kiume Au uendelee kulala ka utakuwa ulichokiota Asiye hustle na asile ukija kitaa utatukuta Moyo wa Champion sioni competition Mitihani ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition AKA ya ulimwengu Ninayekutia fimbo za ugoko Ka hukufunzwa na mama ako Shauri yako Mi sina time ya kupoteza Ngoma ya mtu siwezi cheza So usiponiona usiulize Jua tu niko bize Nazichanga si kwa ubaya Mi sina time ya kupoteza Ngoma ya mtu siwezi cheza So usiponiona usiulize Jua tu niko bize Nazichanga si kwa ubaya Kwanza naamka mapema kama naishi Kigamboni Dili isiyo na pesa Konde Boy humuoni Gari imefuka moshi Ka nimepaki jikoni Na usipumuona Mudi Mnyama Bunduki ipo kiunoni yeeeh I go for the money mura Mi am go for the money money mura I go for the money mura Na sina time ya utani utani mura
Writer(s): Hamis Mohamed Mwinjuma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out