뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Whozu
Whozu
실연자
작곡 및 작사
Oscar John Lelo
Oscar John Lelo
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
프로듀서

가사

Funika funua, aiboo, pandisha midadi
Fanya kama unajivuta hivyo, haya move your body

Wapi kunaendeka, wapi nikaikoshe rohoo
Pa kukesha, hamu imenishika
Wanateseka, wanafiki wanaumia roho
Wanaenyeka, tumbo wamebanwa choo
Eti nyoo nyonyoo, utayaweza tuchambane
Hauna show, hauna dow ah bila filter hutoboi ng’ooo
Eti nyoo nyonyonyo, kujitingisha tingisha
Hauna show, hauna dow bila filter hutoboi ng’ooo, pole yako
Huwezi kuwa mimi hata ufanyaje, hizi level zangu unafikaje
Kwanza haunitishi unasemaje, unatakaje niaje aje?
Huwezi kuwa mimi hata ufanyaje, hizi level zangu unafikaje
Kwanza haunitishi unasemaje, unatakaje niaje aje?
Funika funua, aiboo, pandisha midadi
Fanya kama unajivuta hivyo, haya move your body
Funika funua, aiboo, pandisha midadi
Fanya kama unajivuta hivyo, haya move your body
Eti nyoo nyonyonyo, utayaweza tuchambane

Written by: Oscar John Lelo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...