album cover
Single
730
아프로 팝
Single은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2023년 1월 18일일에 Ziiki Media에서 발매되었습니다.Single - Single
album cover
발매일2023년 1월 18일
라벨Ziiki Media
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM94

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

가사

[Verse 1]
Huyu, naumizwa tu naumizwa
Nimeshachoka sasa
Nikifunga kitabu cha mapenzi
Nifungue cha maisha aa eh
[Verse 2]
Kupendana, kupendana kitu gani
Bora niwe single ntapenda mwakani
Imetekereka hali ya uchumi
Wa mapenzi
[PreChorus]
Maana, najikaza ila inauma
Hivi, kila nikiwa romantic simkidi
simu zangu hashiki
Eti busy (Ah)
[Chorus]
Mwanangu nakuwa single (Nashindwa sana vijiweni)
(Weekend club batanii) yani nakuwa single
Siku za kazi nipo kazini
(Sitaki tena mapenzi) Mwanangu nakuwa single
[Chorus]
Ah, naona ujinga naona utoto yashanichosha
Yani nakuwa single
I said ntakuwa busy na maisha
Mapenzi Bwana
[Verse 3]
Ya nini nining'inie nife
Kugandana, gandana kama kupe
Penzi lenyewe halina ata muda
Eti ndo liniumize
[Verse 4]
Leo ntalewa leoo
Leo ntazima bwanaa
Nshaachana na mapenzii
Nimewachia vijana
[PreChorus]
Najikaza ila inauma
Hivi, kila nikiwa romantic simkidi
Simu zangu hashiki
Eti busy (Ah)
[Chorus]
Mwanangu nakuwa single (Nashindwa sana vijiweni)
(Weekend club batanii) yani nakuwa single
Siku za kazi nipo kazini
(Sitaki tena mapenzi) Mwanangu nakuwa single
[Chorus]
Ah, naona ujinga naona utoto yashanichosha
Yani nakuwa single
I said ntakuwa busy na maisha
Mapenzi bwana
[Outro]
Moyo wangu
Kwanini nikupe shida
Ni bora kukutuliza
Tulizaana
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...