album cover
Mwanaidi
album cover
Mwanaidi은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 1970년 1월 1일일에 ISSAI IBUNGU에서 발매되었습니다.Rangi Ya Chungwa
Released1970년 1월 1일
라벨ISSAI IBUNGU
언어English
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

Mwanaidi yote iliyoniambia nimesikia
Na sito sahau, Ila ninakuomba
Hata uko uendako, usinisahau!
Kwa kweli nitashindwa kulisahau jina lako
Dada-oh nitalia, nitabaki peke yangu
Nateseka, roho itaangaika, juu yako dada
Mimi kweli nitakufa——oooh!
Mwanaidi
Vibaya ivo mpenzi
Mwanaidi yote iliyoniambia nimesikia
Na sito sahau, Ila ninakuomba
Hata uko uendako, usinisahau!
Kwa kweli nitashindwa kulisahau jina lako
Dada-oh nitalia, nitabaki peke yangu
Nateseka, roho itaangaika, juu yako dada
Mimi kweli nitakufa——oooh!
Japokuwa utakwenda mbali
Usinisahau mpenzi
Mwanaidi nitaugua
Sababu yako wewe
Dada roho itaungua mpenzi
Kweli nitakufata dada
Japokuwa utakwenda mbali
Usinisahau mpenzi
Mwanaidi nitaugua
Sababu yako wewe
(nakufa Eeeh! Haaaa!)
(Msondo Ngoma)
Written by: Dar Es Salaam Jaaz Band, Juwata Jazz Band, Les Wanyika, Majirani Rajab, Mass Media Band, Msondo Ngoma Music Band, Nguza Viking, Nuta Jazz Band, Nyanyembe Jazz Band, Och Jabiso, Prof. Omari Shabani, Tabora Jazz Band, Them Mushrooms, Zahir Ally Zoro
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...