album cover
Nilitegemea
559
Singer/Songwriter
Nilitegemea은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2008년 9월 12일일에 ISSAI IBUNGU에서 발매되었습니다.Yanini Malumbano
album cover
발매일2008년 9월 12일
라벨ISSAI IBUNGU
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM95

크레딧

작곡 및 작사
20 Percent
20 Percent
작사가 겸 작곡가
Rorexxie & ISSAI IBUNGU
Rorexxie & ISSAI IBUNGU
작사가 겸 작곡가

가사

(Nilitegemea wewe utakuwa na mimi, maisha yangu yote)
(Mipango ya mungu na ahadi yako, imefanya leo unipotee)
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
Nina huzuni moyoni, mpenzi mi'sikuoni
Umenitoka machoni, umebaki akilini
Ipo siku moja tutaonana, minakuombea dua njema
Ulivyopumzika pema, lala pema peponi amina
Kulia nimeshalia, moyoni hujanipotea
Mwenyewe nilishazowea, narudi unanipokea
Nani atanipokea? (Pia), wewe umetangulia
Na sisi tutafuatia, hakuna ataebakia
Lala, lala, pema (lala pema)
Ulale, lala pema (yeah)
Lala, lala pema, mollah akulipe mema
(Nilitegemea wewe utakuwa na mimi,)
(maisha yangu yote), utawa na mimi maisha, yangu yote
(Mipango ya mungu na ahadi yako)
(imefanya leo unipotee) imefanya unipotee
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
Nimezaliwa na mimi, ila nahisi nakuwa-crazy
Hakuna sababu nyingine, ila ni wewe wangu mpenzi
Juzi juzi wamenitoa kwenye kitanzi, yani sijitambui napiga dakimazi
Hivi ni lini nitakuona, penzi letu kurudi tena?
Wanawake wengi nimeona, nangoja ruhuksa yako kimwana
Yanatoka moyoni, mwengine simtamani
Wewe ndo unathamani, ila haupo tena duniani
Yanatoka moyoni (bibi) Mwengine simtamani
Wewe ndo unathamani, ila haupo tena duniani
(Nilitegemea wewe utakuwa na mimi, maisha yangu yote) nilitegemea
(Mipango ya mungu na ahadi yako, imefanya leo unipotee) nilitegemea
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
Ni kilala naota, naota kama unaniita
Kama jana usiku saa sita, harufu yako yamafuta
Gheto kwenye sita kwa sita, nimehisi kama unaniita
Ile kushituka naamka, kumbe bado naota!
Nikicheki picha zako (aanh), akumbuka ukoo lako
Nikiona nguo zako, natamani kukufuata uliko
Lile jasho lako, bado kwangu liko, nimasikitiko kwaajili yako
(Nilitegemea wewe utakuwa na mimi, maisha yangu yote) kwaajili yako
(Mipango ya mungu na ahadi yako)
(imefanya leo unipotee) imefanya leo unipotee
(Ajali ajali), Ajali (imekufanya darling huwe mbali (ajali)
(Ajali ajali), Ajali
(imekufanya darling huwe mbali) imekufanya darling uwe mbali
Dedication to all, kulindana nao, kila atakae ku-give you complex
Soko hile
Mtoto wa Dani huyu, na wengine wengi waliotutoka kwa ajali tofauti,
Pamoja na Aliya, Rest In Peace
Pamoja sana, Back Yard Record, 20 Pah
(Nilitegemea wewe utakuwa na mimi,)
(maisha yangu yote), utawa na mimi maisha, yangu yote
(Mipango ya mungu na ahadi yako)
(imefanya leo unipotee) imefanya unipotee
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
(Ajali, ajali, imekufanya darling huwe mbali)
Written by: 20 Percent, Rorexxie & ISSAI IBUNGU
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...