가사

Ufanye imara, agano Ufanye imara, agano Eh Bwana Eh Bwana Eh Bwana weeh Ufanye imara, agano Ufanye imara, agano Eh Bwana Ufanya hima, na agano Nami, ewe Bwana Ufanye imara, agano (eeeh Yesu) Ufanye imara, agano (eeeh Bwana) Eh Bwana 'Tangulie Bwana Tengeneza palipo paruzwa Oh Bwana, nisaidie Ufanye imara, agano Ufanye imara, agano Eh Bwana Kama ulivyo tembea nami Tembea na wana wa wanangu Kama ulivyo nibariki Bariki na uzao wangu Kama ulivyo nilinda Ulinda na taifa langu Kama ulivyo nisimamia Simamia na kazi ya mikono yangu Ufanye imara, agano Ufanye imara, agano Eh Bwana Ufanye imara, agano (eeh Bwana) Ufanye imara, agano (eeeh Yesu) Eh Bwana Vunja vunja pande Milango ya shaba Ufanye imara, agano Ufanye imara, agano Eh Bwana Kama ulivyo niongoza Ongoza na kanisa lako Kama ulivyo niponya Uponye na nyumba yangu Kama ulivyo niinua Inua na uzao wangu Wasiabudu miungu mingine Ila Mungu moja, Jehova Wasitafute nguvu kwingine Isipo kuwa kwako tu Ufanye imara, agano Ufanye imara, agano Eh Bwana Ufanye imara, agano(Baaba) Ufanye imara, agano(Yesu, eeeh Yesu) Eh Bwana Nipee hazina za gizani Na mali zilizofichwa Ufanye imara, agano (nikujue zaidi) Ufanye imara, agano Eh Bwana Nikwitaye kwa jina lako Mungu wa Israeli Ufanye imara, agano(Baaaba) Ufanye imara, agano(eeeeh Baaba) Eh Bwana End of lyrics
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out