뮤직 비디오

Rayvanny Ft Macvoice - MWAMBIENI (Official Music Video)
{artistName}의 {trackName} 뮤직 비디오 보기

크레딧

실연 아티스트
Mac Voice
Mac Voice
보컬
Rayvanny
Rayvanny
실연자
작곡 및 작사
Raymond Mwakyusa
Raymond Mwakyusa
작곡가
Khamis Shaban Makalanga
Khamis Shaban Makalanga
작사
프로덕션 및 엔지니어링
Lizer Classic
Lizer Classic
프로듀서

가사

Iyo lizer Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi Ati simtaji jina (Anajijua) Fundi wa Raha zangu (Anajijua) Kiboko yangu (Anajijua) Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana (Anajijua) Roho yangu (Anajijua) Mwenye moyo wangu (Anajijua) Sio mpaka niseme Kwanza tuanze rangi yake Ah! Jamani ipo mwake Natamani nione kopo lake Amenunua wapi duka lake Kisha tuje kwenye umbo lake ah! Hapo lazima udate Usije kutokwa mate Mambo ya uturuki tuyaache Maana mtoto kanawiri Jaama Kumuacha uwe jasiri Saana Nime shindwa kuwa bahiri Mama We nichune hadi kandambili Sawa Babe pose geuka freeze Nipe tabasamu la picha cheese You are so mwaaa, you are so cute Kwako nime wehuka kabisa chizi Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi Ati simtaji jina (Anajijua) Fundi wa Raha zangu (Anajijua) Kiboko yangu (Anajijua) Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana (Anajijua) Roho yangu (Anajijua) Mwenye moyo wangu (Anajijua) Sio mpaka niseme Leo nawatambulisha Mliokuwa hamjui Hapa ndo nimetika mwenzenu Shemeji yenu huyo Kwake najibebisha Usiku asubuhi Tongonza tongoza ama zangu ama zenu Shemeji yenu huyo Ye ndo tiba ya mwili Mama Anituliza akili Jama Ma Ex mtasubiri Sanaaa Kumuacha sitikiriii Oh oh Pose Geuka Freeze Nipe tabasamu la picha cheese You are so mwaaa, you are so cute Kwako nime wehuka kabisa chizi Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi Ati simtaji jina (Anajijua) Fundi wa Raha zangu (Anajijua) Kiboko yangu (Anajijua) Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana (Anajijua) Roho yangu (Anajijua) Mwenye moyo wangu (Anajijua) Sio mpaka niseme
Writer(s): Raymond Mwakyusa, Siraju Amani, Khamis Makalanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out