크레딧

실연 아티스트
Ziddy Value
Ziddy Value
실연자
작곡 및 작사
Zidi Jamali
Zidi Jamali
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Chidy Care
Chidy Care
프로듀서

가사

cheza dummy like dummy unavyo nichezesha ndo sipumui
penzi nalioga lina mwaga maji yani kwenye mboga umetia siagi
 nipo garden, ya eden penzi ni maradhi ila siumwi
 come closer my baby you’re my sunshine….
Nikubebe unibebe kama mtoto nasimama dede
unibebe nikubebe twende juu tukapande ndege
Unavyo nifanya ndo nazidi kwama ndo nazidi zama.
 unavyo nifanya ndo nazid kwama ndo nazidi zama
 I see every body follow you usije niacha ukaenda mbali
oh my boo ukinikiss najihis akili inasafiri nananana.
nipo garden, ya eden penzi ni maradhi ila siumwi
come closer my baby you’re my sunshine….
Nikubebe unibebe kama mtoto nasimama dede
unibebe nikubebe twende juu tukapande ndege
Unavyo nifanya ndo nazidi kwama ndo nazidi zama.
 unavyo nifanya ndo nazid kwama ndo nazidi zama
Written by: Zidi Jamali
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...