album cover

Hapotei

2,268New Age2023
album cover
Hapotei은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2023년 5월 23일일에 iCON Music에서 발매되었습니다.Hapotei - Single
발매일2023년 5월 23일
라벨iCON Music
BPM199
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Umeshanipa nusu uhai ukasema hunaga jealous,
Mi nanenepa najidai minyamanyama nakula,
Ugali kwake naenjoy
Nikiwa kwenye himaya yake haniboi,
Ila hatua zake sitoboi
Kipo nachopata kwake huning\'oi
Acha nimuwaze ye ndo tiba yangu donda anigange,
Acha nijirambe ye ndo tamu yangu wacha anidange,
Acha nijirambe ye ndo tamu yangu wacha anidange,
(eeeeeh)
Hapotei
Akilini hadi moyoni,
Hanipotei
Mi nabaki naye nabaki, nayeye,
Hapotei
Kwake nabakia wengine wa nini,
Hanipotei (oooh)
Mi nabaki nayeye nayeye,
Presha ikipanda ki wepesi ananishusha,
Kwake sina dawa mi ni sikio la kufa,
Nataka tufanane saresare,
Waso penda kutuona wanune,
Nizamishe Kwenye tope kambale,
Pesa za vikoba nichune,
Huyu katapila gharamia kashateka soko,
Yaan mpirani kavamia boko,
Akinigunia katikia sitoagi boko,
Yaan chali halalagi na kimoko,
Acha nimuwaze ye ndo tiba yangu donda anigange
Acha nijirambe ye ndo tamu yangu wacha anidange
Acha nijirambe ye ndo tamu yangu wacha anidange
(eeeeeh)
Hapotei
Akilini hadi moyoni,
Hanipotei,
Mi nabaki naye nabaki nayeye,
Hapotei
Kwake nabakia wengine wa nini
Hanipotei (oooh)
Mi nabaki nayeye nayeye,
Written by: HERMAN KIBASSO

Shazam 꼬리말

언어 선택:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Shazam 팔로우하기

Loading...