가사

Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Kila mtu ana riziki yake Kila mtu ana baraka zake Mafanikio maishani mwetu Huenda sambamba na mipango ya Mungu Kila mtu ana riziki yake Kila mtu ana baraka zake Mafanikio maishani mwetu Huenda sambamba na mipango ya Mungu Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Kuzaliwa malezi na elimu Sijivune Mungu ndiye aliyepanga Alipanga upate hivi vyote Ili ukaweze kumtukuza kwazo Kuzaliwa malezi na elimu Sijivune Mungu ndiye aliyepanga Alipanga upate hivi vyote Ili ukaweze kumtukuza kwazo Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu Mipango ya Mungu ni ya ajabu Mipango ya Mungu aipangapo Hakuna mwanadamu yeyote Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Writer(s): Jemmimah Thiong'o Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out