크레딧

실연 아티스트
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
리드 보컬
작곡 및 작사
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Man Water
Man Water
프로듀서

가사

kuna wakati wa kulia
wakati wa kuomboleza
wakati wa kusema mungu
mbona umeniacha
Mana hakuna wakati mgumu
kama wakati wa shida
Ata ndugu yako wa damu atajitenga nawe
Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia
Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe
Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia
Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe
Nimejifunza kwamba wakati wa matatizo ata yule aliyekupenda anajitenga nawe
mana hata wakati wa yesu katika kikombe cha mateso wengi waliyempenda walijitenga naye Hata wanafunzi wake
Written by: Martha Mwaipaja
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...