album cover
Umenibeba
44
Christian & Gospel
Umenibeba은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2023년 9월 3일일에 Desau Mwaweza에서 발매되었습니다.Umenibeba - Single
album cover
발매일2023년 9월 3일
라벨Desau Mwaweza
언어English
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM111

크레딧

실연 아티스트
Desau Mwaweza
Desau Mwaweza
실연자
작곡 및 작사
Desau Mwaweza
Desau Mwaweza
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Ayubu Tayari
Ayubu Tayari
프로듀서

가사

Mungu Mungu nimeuona mkono wako ukinibebeba maishani mwangu ukinibeba maishani mwangu
                                 
Wakati wanadamu waliponiacha wakati wanadamu walipo nitenga mawazo yao walijua nitakufa mawazo walijua niataabika hawakujua kubwa upo Mungu. Upo Mungu mtetezi wangu hawakujua kuwa upo Mungu upo Mungu unaenitetea kwa watoto wangu ninauona mkono wako nimeuona mkono ukinifunika kazini kwangu ninauona mkono wako ninauona mkono uniitetee.
katika jalibu langu katika magonjwa yangu katika maradhi yangu katika maumivu maumivu yangu mkono wako haukunipungukia Mungu mkoko wako ulinitetea mkono wako haukunipungukia Mungu mkono wako ulinitetea kabisa haikuwa rahisi haukuwa rahisi kupona kwenye ajali ile kabisa haikuwa rahisi kutoka salama walikufa wengi walikufa wengi nikatoka mzima walikufa wengi nikatoka salama kabisa haikuwa rahisi haikuwa rahisi kupona kwenye ugonjwa ule kabisa haikuwa rahisi haikuwa rahisi kutoka kwenye kitanda kile walikufa wengi nikatoka salama walichofia wengi nikainuka salama walichofia wengi nikatoka mzima walichofia wengi nikainuka salama ni mkono wa Mungu ni mkono wa Mungu ni mkono wa Mungu ulinibeba mkonoooooooooo aiyoooooooo
Written by: Desau Mwaweza
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...