크레딧
실연 아티스트
Beda Andrew
리드 보컬
Deborah Judycate Mariki
백그라운드 보컬
Nyemo Amon Mnyii
백그라운드 보컬
작곡 및 작사
Beda Andrew
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Benfranco
프로듀서
Benson Abel
프로듀서
Moderns Music
프로듀서
가사
[Chorus]
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema eeh
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
Jinsi matendo yako yananishangaza mie
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
Baba weeh eeh u mwema eeh
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
Jinsi matendo yako yanaushangaza moyo wangu
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
[Verse 1]
Ulivyonitenda Mie (Mie)
Sina maneno Mie (Mie)
Yakutosha kusema asante
Hata nitoe nini mie (Mie)
Kama sadaka mie (Mie)
Haitoshi Kulingana na wema wako kwangu ee
[Verse 2]
Tokea mafichoni uliniona mie
Nilifunikwa na giza nene eenh
Siri ya moyo wangu nilidhani mie
Mi ni wa chini juu sikustahili yeeh (Pale lilipotanda giza)
Asubuhi nayo ikaja nuru ya haki ikanizukiaah aah (Shida ziliponiandama)
Kwa huruma ukaniokoa ukanichukua na kunitakasa aah, aah eeh
[Chorus]
Baba wee u mwema
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
Jinsi matendo yako yananishangaza mie
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
Baba weeh eeh u mwema eeh
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
Jinsi matendo yako yanaushangaza mie
Baba eeh Baba eeh wewe u mwema aah
[Outro]
Baba u mwemaah, Yesu umwema eenh
Kweli umwema aaah, Mungu wangu umwema aargh
Baba u mwemaah, Yesu umwema eenh
Kweli umwema aaah, Mungu wangu umwema aargh
Baba u mwemaah, Yesu umwema eenh
Kweli umwema aaah, Mungu wangu umwema aargh
Baba u mwemaah, Yesu umwema eenh
Kweli umwema aaah, Mungu wangu umwema aargh
Written by: Beda Andrew

