album cover
Mapenzi Au Pesa
97,305
Pop
Mapenzi Au Pesa은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2022년 12월 6일일에 Centano_1에서 발매되었습니다.Mapenzi Au Pesa - Single
album cover
발매일2022년 12월 6일
라벨Centano_1
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM69

크레딧

실연 아티스트
Centano
Centano
실연자
작곡 및 작사
Innocent Lucas
Innocent Lucas
작사가 겸 작곡가

가사

[Chorus]
Niko mawili kwenye kichwa, mapenzi au pesa
Na siwezi kupoteza vyote uh la-la
Hunipi amani hunipi pressure, acha nitafte pesa
Na siwezi kupoteza vyote, uuh la-la
Uuh la-la, uuh la-la
Uuh la-la, uuh la-la
[Verse 1]
Hello, hello, hello, I know you love me
Hello, hello, hello, I know you need me
Ila tatizo drama na kujiona unapendwa sana
Unajiona we wa maana, unasumbua sana
[Verse 2]
Hivi kitu gani we huapti
Labda sikupi kwa wakati
Cheza na mwili wangu, uscheze na akili
Ucheze na hisia zangu, uscheze na mimi maana
[PreChorus]
Taji wa maskini, nguvu zangu mwenyewe
Nguvu zangu mwenyewe
Sina baba sina mjomba tajirii
Nguvu zangu mwenyewe, mwenyewee
[Chorus]
Niko mawili kwenye kichwa, mapenzi au pesa
Na siwezi kupoteza vyote uh la-la
Hunipi amani hunipi pressure, acha nitafte pesa
Na siwezi kupoteza vyote, uuh la-la
Uuh la-la, uuh la-la
Uuh la-la, uuh la-la
[Verse 3]
Pesa nayo nini nilikosea, maana inanikimbia
Usiku mchana haitaki kuitikia
Vimeumana, taabu sana
Vyuma vimekaza taji ya kima sanaa
Namuomba usiku mchana Mungu anipe
Na jasho la mnyonge Mungu anifutee
Natumia akiloi sana nguvu nto yoote
Si unaona Babaa, bless me Babaa
[PreChorus]
Taji wa masikini, nguvu zangu mwenyewe
Nguvu zangu mwenyewe
Sina baba sina mjomba tajirii
Nguvu zangu mwenyewe, mwenyewee
[Chorus]
Niko mawili kwenye kichwa, mapenzi au pesa
Na siwezi kupoteza vyote uh la-la
Hunipi amani hunipi pressure, acha nitafte pesa
Na siwezi kupoteza vyote, uuh la-la
Uuh la-la, uuh la-la
Uuh la-la, uuh la-la
Written by: Innocent Lucas
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...