뮤직 비디오
크레딧
실연 아티스트
VDJ Jones
실연자
Juacali
실연자
작곡 및 작사
Vdjjones
작곡가
Paul Nunda
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Mavo On The Beat
프로듀서
가사
Si ni wale mang'aa
Wa Mang'ang'o
Si ni wale mang'aa
Wa Mang'ang'o
Si ni wale mang'aa
Wa Mang'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
Si ni
(Jua Cali)
Si ni wale wabaya wacha kushangaa
Na hatuna haya na hii umang'aa
Niko juu ya jaba nikiteremsha chang'aa
Na niko na mbogi yangu nikute kwa mtaa
Kutesa kila siku vile inafaa
Usingizi iliisha hujalala siku saba
Mguu zetu chafu bado unageuzana Legolize, miti ni dawa
Mangoko wote wako na umang'aa Mangati wote wako na umang'aa
Mtaa zote ziko na umang'aa
Kama hujui sisi wote ni walee
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
(SWAT)
Shada imekazwa ndo ishikishi
Napita nikikata nikisipi si
Napiga hiyo kitu ina pisi pisi
Ukiona mi na mbulu jua niko Masii Nakemba Wambo, Shiko,
Njeri na Mercy Hizo shimo zote mi nina ma-key
Nakata base -- mloso na Cassey Chombo ua kasongesho
Brikicho, hicho hicho
Kalongongo na banono Kilokolo cha mbao
Kuchengwa ngwa kwa grao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
(ODI WA MURANG'A)
Odi wa Murang'a ni ka nimemeza
Tongs Na leo katashika tu bila jing jongs
Na rieng niko ready tu camera ikiwa on
Na hao mangeus hapo kando walegeze thongs
Mangwati mingi mingi kendo ngiri
Thirty Mangwai mingi mingi kendo mkoko thirty
Mi sina akili mi hutemea hadi wale mate
Mi humwaga ka chizi sipanguzi ndo ulambe
Singekuwa mkenya ningekuwa peddy wake
Ka angekuwa Githu ningemtoka sandles zake
Leo sidai beef sapa nakula sistake
Na beat ishamada
Kelly twende tukakate
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Si ni wale mang'aa wa ma ng'ang'o
Sisi ni mabwana za mabibi zao
END!!
Writer(s): Marvin Abwao
Lyrics powered by www.musixmatch.com