가사

Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Ma-haters kama hamnipendi Kuleni sembe, meza wembe Nawapa live kama Saida Karoli Na wenye wivu wajinyonge Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Mafans mi nawapenda wote Na ma-autographs nita-sign siku zote Nawashukuru walioni-hold down Na kwa hii rap game sitawa-let down I promise, mi nawapa promise tu Album yangu itakuwa hits tupu So, you better act like you know Wakiuliza nani anaroga sema Prezzo Oh really though once again here we go Mr. Jackson knockin knockin on your door Nawapa vitu, haters nawapa mambo Nawapa vidonge wakitema shauri yao Mi na-count blessings zangu jo Na mpende msipende ndivyo ilivyo On my two still moving on strong Waliodhani sita-make it damn you dead wrong Na kama uko down basi sing my song Kama ku-floss is wrong I can't be right Na kama uko down basi sing along Kama ku-floss is wrong Mazee I can't be right Mafans Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Ma-haters kama hamnipendi Kuleni sembe, meza wembe Nawapa live kama Saida Karoli Na wenye wivu wajinyonge Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Verse two na-dedicate kwa ma-fools wenye PhDs Ma-playa hating degrees wana... Taka kumvuta Prezzo down Lakini mimi nawa-show haiwezekani clown All this kwa sababu ya madame Wao wanasema nawa-drive insane kwenye membrane And I'm like "sure you right" And if you're down with CMB for sure we'll be tight And if you're not down basi take a hike Coz I got my fans and with that I'm alright So, siwahitaji nyie Wala hamnibabaishi nyie Nazidi kuzipokea tele Baraka zangu nikisonga mbele Critics, siwahitaji nyie Wala hamnibabaishi nyie Nazidi kuzipokea tele Baraka zangu nikisonga mbele Haya twende Everyday napokea baraka zangu nikisonga mbele Haya twende Kila siku napokea baraka zangu nikisonga mbele Mafans Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Ma-haters kama hamnipendi Kuleni sembe, meza wembe Nawapa live kama Saida Karoli Na wenye wivu wajinyonge Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Sasa thanks to my fans nimekuwa super star Thanks to the radio presenters Waliopiga ngoma zangu rewind selecta DJ Styles and... the heavy hitters In general I want to shukuru the media For making a brother like me get even bigger CMB my family nawaona Forget the haters let's make this paper Adam and the whole staff of Insyder Thanks for holding me down mi nawapenda Wote California yote Clemo wazi jo kwa kunipa genge Big Ted, Tru Blaq na Big Kev Thanks to y'all mazee your boy's breaking bread Off my head nawapenda wo Just a couple jamaas that I know Oh, mafans mi nawapenda wote Autographs si nta-sign siku zote Mafans mi nawapenda wote Na ma-autographs nita-sign siku zote Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote) Ma-haters kama hamnipendi Kuleni sembe, meza wembe Nawapa live kama Saida Karoli Na wenye wivu wajinyonge Mafans mi nawapenda wo Nawapenda wo (wote)
Writer(s): Jackson Ngechu Makini Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out