뮤직 비디오

제공

크레딧

실연 아티스트
Hamis Bss
Hamis Bss
실연자
작곡 및 작사
Hamis Bss
Hamis Bss
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Jeydrama
Jeydrama
프로듀서

가사

Aaanh Haaaanh
Naitwa BWAKA
Mmnh Baby Wewe umewazidi wengi acha nikusifie
Na Changu Chako,Chako Changu jichukulie.
Moyo wanienda mbio mwaya, Nisipokuona silali.
Sina ujanja kwako.
Kukucheat Nishasema sitaki Hawana Nafasi, kuachana Tena Basi
Waambie
Na Wakisema Tutaachana Waambie Sawa
Ila penzi letu Linalindwa na Maulana.
Eti Hatutofika Mbali Waambie Sawa.
Ila penzi letu Linalindwa na Maulana.
Lelelelilo lololilooo ooonh
Mamaaa oonh mamaaa
Baby mimi Nina hofu kukupoteza mwenzako naogopa.
Nataman Duniani Tubaki wawili usije ondoka.
Twende far away yaani mbali Mimi Nawe.
Tupendane Kila day tushibane.
Usiwape unono.
Kukucheat Nishasema sitaki Hawana Nafasi, kuachana Tena Basi
Waambie
Na Wakisema Tutaachana Waambie Sawa
Ila penzi letu Linalindwa na Maulana.
Eti Hatutofika Mbali Waambie Sawa.
Ila penzi letu Linalindwa na Maulana.
Written by: Hamis Bss
instagramSharePathic_arrow_out