album cover
Dunia
album cover
Dunia은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2024년 4월 5일일에 Lady Isa에서 발매되었습니다.Malembe - EP
2024년 4월 5일
라벨Lady Isa
BPM
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

[Intro]
Sakana mama, keba na la vie
Basala kala basuka na finale
Sakana mama, keba na la vie
Basala kala basuka na finale
[Verse 1]
Oooh mwanangu dunia ina mambo
Sikia maneno nakuambiaga
Mpe roho yako Mola wako
Heshima kwa wazazi eeh mwanangu
[Chorus]
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
[Verse 2]
Chunga mwenzio atakudanganya
Kwa yoyote ile atapenda yeye
Kipenda roho kila mtu na yake
Yake ni yake na yako ni yako
[Chorus]
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
[Verse 3]
Mwendo wa kobee mayele mayele
Mwendo wa chui kuwindawinda eh
Mwendo wa nyoka lukumba lukumba
Mwendo wa ngalama na njia ya paradii
[Chorus]
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
[Verse 4]
Taabu na raha ina kungojea inategemea akili yako
Tafuta eeh utapata eeh
Kumbuka maneno nakuambianga
[Chorus]
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
[Verse 5]
Chunga mwenzio atakudanganya
Kwa yoyote ile atapenda yeye
Kipenda roho kila mtu na yake
Yake ni yake na yako ni yako
[Chorus]
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
[Verse 6]
Taabu na raha ina kungojea inategemea akili yako
Tafuta eeh utapata eeh
Kumbuka maneno nakuambianga
[Chorus]
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
[Outro]
Sakana mama, keba na la vie
Basala kala basuka na finale
Sakana mama, keba na la vie
Basala kala basuka na finale
Written by: ISABELLE BEGUIN
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...