album cover
Lini
album cover
Lini은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2024년 4월 12일일에 The Magical Touch에서 발매되었습니다.Lini - Single
2024년 4월 12일
라벨The Magical Touch
BPM89
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Baby Aaah
Niko serious
Kwako si fake wala si act
Niko serious
Baby aah
Au mapenzi basi
Niinusuru nafsi yeah
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujaali Eeee Eeee
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Sawa nikuvumilie eeh
Ndoa za watu nihudhurie eeh
Bado wajipanga ni kazi bure
Unapiga magoti
Hunivishi pete
Wala hu propose yeah
Ama ka moyo kangu kupe
Kana ng'ang'ana
kupenda nisikopendwa
sa nawaza baadae ubadirikee
Usi fadhirike woh uuh
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
I remember you told me
Am your one and only
Toka nyakati zile
Pete haijawahi ona kidole
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Written by: Ibrahim Jafari Mzonge
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...