album cover
Huba
53
Afro-Pop
Huba은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2024년 6월 6일일에 Totoz Nation에서 발매되었습니다.Huba - Single
album cover
발매일2024년 6월 6일
라벨Totoz Nation
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM111

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Daroon
Daroon
실연자
프로덕션 및 엔지니어링
Mesen Selekta
Mesen Selekta
프로듀서

가사

HUBA
DAROON
HUBAAA
Huba lako
Lanifanya nikuwaze wewe kila saa
Kila saa
Fikra zako
Zanipumbaza wallah mi kila saa
Kila saa
Weeh darling
Uvyonipa jamani mi hata siamini
Siamini
Un lonely for loving haki ya mungu
Wallah naapa napendwa mimi
Ohooooo
Onaaaaah
Tena kipenzi jitahidi
Zidisha huba utamu uzidi
Maana sio kwa raha hizi
Wanipa hadi nafahidi
Oohooo DAROON
Huba huba huba hubaaa
Huba huba huba hubaaa
Huba huba huba hubaaa
Huba huba huba hubaaa
Sweet honey girl
Sana wanifaa
Ukijaribu saliti penzi mama nitakufaa
Kweli weeh ni kifaa
Honey moyo ushautekaa
Minakupenda wallah bilih kwangu weeh malaikaa
Onaaaaah
Tena kipenzi jitahidi
Zidisha huba utamu uzidi
Maana sio kwa raha hizi
Wanipa hadi nafahidi
Oooh DAROON
Huba huba huba hubaaa
Huba huba huba hubaaa
Huba huba huba hubaaa
Huba huba huba hubaaa
DAROON
TOTOZNATION
MESEN SELEKTA
Written by: Daroon
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...