album cover
Shuhuda
album cover
Shuhuda은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2024년 6월 7일일에 Kadason Music에서 발매되었습니다.Shuhuda - Single
2024년 6월 7일
라벨Kadason Music
BPM87
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Umenitendea tena
Umenitendea wema
Napendezwa jinsi unavyonijibu
Maombi yangu unavyonijibu
Napendezwa jinsi unanibariki
Kazi zangu unanibariki
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndipo uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Ohooo ye ye yeh ona nanana
Nilivyokuomba kwa uaminifu
Umenipaa
Umenipa na ziada
Baraka zako zinamwagika
MUNGU wa Viwango
Majibu yako uhakika
Umenipa vile Bora
Bora sana Nimeridhika
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndiko uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Written by: Thadeo Peter Bundallah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...