album cover
Mwisho
100,865
Afro-Pop
Mwisho은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2021년 7월 9일일에 Killy Tz에서 발매되었습니다.Mwisho - Single
album cover
가장 인기 있는
지난 7일
00:15 - 00:20
Mwisho은(는) 지난 주에 약 15 초 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.
00:00
00:15
01:00
01:15
01:35
01:45
01:55
02:05
02:15
02:20
02:40
02:50
00:00
03:03

크레딧

실연 아티스트
Killy Tz
Killy Tz
실연자
작곡 및 작사
Killy
Killy
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
NEKSAZY
NEKSAZY
프로듀서

가사

[Verse 1]
Ukweli mama unauficha tena
Unaniruka kando nisijitete
Ajali kila kukicha ex wako
Ananitoka mafumbo ili unipotee
Kweli mnatumiana picha tena
Nakuunganisha bando ili mnitete
Ndio mana havikauki visa
Au labda nijirudishe jando nikajitete
[PreChorus]
Aah! kumbe kimya kimya anachachua
Maana unavyomsifiaga kwa Insta
Unaniona kima unajichetua eti nilikulazimishaga unapita
Umenizima umenibidua sidhani hata nishakunjaga ndita
Nishakupima nimekugundua na hili nishalipigaga
[Chorus]
Hakuna marefu yasiyo na mwisho mwisho
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho
Tusiendelee
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho
Yani ni bora iwe mwisho
Mwisho mwisho mwiii-
[Verse 2]
Maumivu moyo wangu una maumivu uuh
Vidonda aah aah
Mwili umepatwa na uvivu penzi limegeuka majivu uuh
Nahisi kukonda aaa aah yeye eeh
Ah eti tufe tuzikwe wote yani hukudhamiria chochote
Nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbie eeh
Nakuridhisha ma nakupa vyote kweli nahudumia cha wote
Basi we batili batili picha zisinirudie eeh
Oooh baby!
[PreChorus]
Kumbe kimya kimya anachachua
Maana unavyomsifiaga kwa Insta
Unaniona kima unajichetua eti nilikulazimishaga unapita
Umenizima umenibidua sidhani hata nikashakunjaga ndita
Nishakupima nimekugundua na hili nishalipigaga
[Chorus]
Hakuna marefu yasiyo na mwisho mwisho
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho
Tusiendelee
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho
Yani ni bora iwe mwisho
Mwisho mwisho mwiisho
Written by: Killy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...