album cover
Bado
989
World
Bado은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2023년 12월 15일일에 The Musiq Market에서 발매되었습니다.Bado - Single
album cover
발매일2023년 12월 15일
라벨The Musiq Market
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM89

가사

(Chipaka on the beat)
Asubuhi kukikucha huwa nampa chai
tena bila vitafunwa ila anafurahi
Akicheka akinuna huwa haikatai
Ntampigia na vinanda nimsabahi
Hata Mungu ndiye shahidi
Mwenzenu mi nafaidi ananipatia joto
Nikisikia baridi
Na ndo maana najitahidi kumtunza kwa bidi
Asije tekwa na Watoto wa osama gaidi
Wanaosubri tuachane mbona
(Bado bado)
Bado bado niko na yeye
(Bado bado)
Wanaosubiri tugombane mbona
(Bado bado)
Bado bado niko na yeye
(Bado bado)
Ndo maana nikilala na yeye analala
Na kama nikitulia na yeye anatulia
Ndo maana nikikula na yeye ankula
Siwezi mbania akitaka nampatia
Hata akiondoka dakika moja mi huwaga nammisi
Yaani kashanichanganya na sioni wa kumrithi
Ananifanya natabasamu mpaka nashindwa kujifahamu
Halali wangu mtaalamu hata akinikonyeza huwa nacome
Hata Mungu ndiye shahidi
Mwenzenu mi nafaidi ananipatia joto
Nikisikia baridi
Na ndo maana najitahidi kumtunza kwa bidi
Asije tekwa na Watoto wa osama gaidi
Wanaosubri tuachane mbona
(Bado bado)
Bado bado niko na yeye
(Bado bado)
Wanaosubiri tugombane mbona
(Bado bado)
Bado bado niko na yeye
(Bado bado)
(This is Africa)
Written by: Zaina Haji Mchombora
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...