album cover
Hapana
7,956
Afro-Pop
Hapana은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2021년 9월 16일일에 Waka Music Limited에서 발매되었습니다.Hapana - Single
album cover
발매일2021년 9월 16일
라벨Waka Music Limited
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM87

가사

Hata waseme nini sikuachi, ndio kwanza umepanda na chati
Umenidhibiti umeshika na shati, umeshinda umevunja kamati
Mwenzio umejitoa mhanga, kwenye huba lako
Nichape nipeleke utakavyo mimi punda wako
Sitoshika simu yako, ila shika yangu nimekubali
Hao, hao wafiki zako, wanokusema mimi sikubali (Eti wanasema)
Mara unagawa kwa vipande, oh unakwenda kwa mparange
Eti sikwezi nikajipange, mara nikuache ukadange
Baby mi (Hapana), kukuacha (Hapana)
Unachonipa (Hapana), mi kukikosa (Hapana)
Baby mi (Hapana), kukuacha (Hapana)
Unachonipa (Hapana), mi kukikosa (Hapana)
Hushangai nishakufumania, ila bado nimeng'ang'ania
Penzi lako limenizidia, na mwaka huu watanizika
Na si walisema kwamba hubebeki, leo nakubeba yaani kudadeki
Mmh afe kipa au afe beki (Nishakuwa wako liwalo liwe)
Sitoshika simu yako, ila shika yangu nimekubali
Hao, hao wafiki zako wanokusema mimi sikubali (Eti wanasema)
Mara unagawa kwa vipande, oh unakwenda kwa mparange
Eti sikwezi nikajipange, mara nikuache ukadange
Baby mi (Hapana), kukuacha (Hapana)
Unachonipa (Hapana), mi kukikosa (Hapana)
Baby mi (Hapana), kukuacha (Hapana)
Unachonipa (Hapana), mi kukikosa (Hapana)
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...