크레딧
실연 아티스트
OMG Tanzania
실연자
S2Kizzy
리드 보컬
Salmin Swaggz
리드 보컬
Young Lunya
리드 보컬
Conboi Cannabino
리드 보컬
작곡 및 작사
Salmin Kigondo
작사가 겸 작곡가
Rashid Goda
작사가 겸 작곡가
Rashid Shabani Rashid
작사가 겸 작곡가
Salmin Kasimu Maengo
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
S2Kizzy
프로듀서
Chizan Brain
마스터링 엔지니어
가사
Kila nikiwa club niko VIP
Sitafuti mademu wananitafuta mi
Party ka nilikufa nikafufuka
Na naswing ka nataka kuanguka (swing)
Left right kama uko tungi jingi (swing)
Bounce head kama umepigwa singi (swing)
Hata kama we ni mfupi kama pimbi (swing, huh)
Tunazama kingi
All my people love me unconditional
Watu wangu wote wapo original
Kama nilikufa nikafufuka
Na naswing ka nataka kuanguka
Swing
Swing left, swing right
Nakuja na eeh!. Napop ma Bottega
Nikija Na hii. Wakuja anapotea
Wanao hawachani ka sisi
Hamuwezi ku ball na sisi
Hamuwezi kuvaa ka sisi
Kama wanyama sie simba nyie fisi
Na ninavyoswing, mawaki nawapoteza
Vile nnavyobang, wagumu wanalegeza
Mnapenda masifa mazee
Tunakinukisha mazee
Tunafurahisha masela
Hatutaki misifa tunataka hela
Wanatafuta kiki mi nakamua
Mablazameni wakiimba wanabana pua
Napenda sanaa shpapi watoto wa kishua
Ila sipendi wa uswazi wanaojishaua
Swing
Swing left, swing right
Wambie wanao
Hatuwezi kuswing na wao
Unataka picha wow
Unataka picha za kwa mitandao
So mi nataka kuswing for now
Na niko simple now
Mnataka wimbo nmetoka chimbo tandika single now
Ngoja nikupe kasiri
Juu washapita wawili
Na nimepiga mitungi naswing nawaona wawili wawili
Simple kali nabadili
Sitaki za kwenu batili
Bebe flani zimechilli niacheni nipige madili
Sa hawa marapa tambu, wanatupa udambu udambu
Tunaona bandu bandu si ndo chachandu chandu
Tukitoka ka mkuki, tunapiga mashuti
Jombaa utaisoma, waliogoma wote mahututi
Written by: Rashid Goda, Rashid Shabani Rashid, Salmin Kasimu Maengo, Salmin Kigondo

