크레딧
실연 아티스트
Dice King
보컬
Akostician
기타
작곡 및 작사
Dice King
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Dice King
믹싱 엔지니어
Akostician
공동 프로듀서
가사
11/10 ako fine ye ni diva
Ye ni babygirl ye ni peng ameiva
Jo
Mi ntashika ka keeper ntamshikilia adi mwisho wa maisha
We ni Msupa bora unisho vile unadai
We ni Msupa mbona si usunisho vile unadai
Tusiharubuane time
Ukinisho vile mi ntadu kenye unadai
Msupa ukona curves we ni theta msupa vile umeweza unafuatwa kama Jesus
Ye ni peng ye ni diva vile ameweza anaftwa kama Jesus
Si naeza x2
Naeza kupeleka out
Naeza kupekea chuom nikutembeze ki scout
Naeza x2
Naeza kupeleka out naeza kupeleka lunch
Babyirl uko fine unanzoza juu yako walai niko worsk niko mboka
Babygirl uko fine umezoza juy yako walai hao wasuoa nawatoka
Umeniteka msupa si uko fine umeweza
Ukinilpa chance mi walai sitacheza
Jo
We ndo makali bado chaser
Wewe ndo umetop ntakspoil desing ya paypal
Ntakutumia madoller 11/10 ako fine ye ni diva

Ntakutumia madoller
Ntakusetia gucci kwa collar
Ntakutumia madoller
Ntakusetia gucci kwa collar
Written by: Dice King