album cover
Zero Pressure
2,622
Afro-Pop
Zero Pressure은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2024년 2월 2일일에 Wasaga Music에서 발매되었습니다.Zero Pressure - EP
album cover
발매일2024년 2월 2일
라벨Wasaga Music
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM70

크레딧

실연 아티스트
Elisha Wasaga
Elisha Wasaga
리드 보컬, 전자 기타
Okello Max
Okello Max
실연자
Watendawili
Watendawili
실연자
Julius Okelo McRymboh
Julius Okelo McRymboh
리드 보컬
Ywaya Eugine Simon
Ywaya Eugine Simon
리드 보컬
Edgar Israel Onyach
Edgar Israel Onyach
리드 보컬
작곡 및 작사
Elisha Wasaga
Elisha Wasaga
작사가 겸 작곡가
Julius Okelo McRymboh
Julius Okelo McRymboh
작사가 겸 작곡가
Ywaya Eugine Simon
Ywaya Eugine Simon
작사가 겸 작곡가
Edgar Israel Onyach
Edgar Israel Onyach
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Gordon hastings Odhiambo
Gordon hastings Odhiambo
프로듀서, 녹음 엔지니어
Hendrick Sam
Hendrick Sam
믹싱 엔지니어, 마스터링 엔지니어

가사

Nimepata habari ati huna amani
Unalia kwa kitanda unataka kuvuna
Wakati wa kupanda unatafuna mbegu
Gin gichamo matunda kech bironegi yawa
Terri mos mondo apimni
You're rolling with the big boys but huna voice
Pretending you're humble but huna choice
Relax take it slow
Relax take it slow
Hii maisha zero pressure
Ukipata burudika, ukikosa
Kula ngoma wacha pressure
Ruka kama mwenye ata hana stress
Maisha mwendo pole take it at your pace
Kushindana na jirani si itakumess
Usitongoze msichana na pesa za rent,pressure
Hatushindani na jirani, zero pressure
Bila guchi patipati luku safi,zero pressure
Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure
Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure
Hatushindani na jirani, zero pressure
Bila guchi patipati luku safi,zero pressure
Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure
Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure
Wai mummy jomoko yweyo ei mo
Instagram iliche pichni mana iphone
Andis thirteen and above pesa huna
Crazy crazy thagori bedsitter medie medie
Onge kata kuma ng'ato dibedie
Awuoro sana, maajabu sana ai
Usiwahi complicate mamayo
Maisa ya kuimitate mwanamu
Pinyni wan we wakalo kawadhi
Ngima yolo kokidak gadiera mano sauchi
Wolololololo
An adak gi hera
Gimagiwacho etoka okobadha
Bedie ni andiso akala
Kata anyono gi ndiga
Nyasachwa mogwedhi no
Emanipo kochopona aah
Hatushindani na jirani, zero pressure
Bila guchi patipati luku safi,zero pressure
Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure
Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure
Hatushindani na jirani, zero pressure
Bila guchi patipati luku safi,zero pressure
Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure
Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure
Nawasha kitu naseti movie
Natulia tuli tuli maji ya mtungi
Sitaki zogo sitaki nuksi wakisha udi
Leo ni vest na machupi madem wakum
Akuku danger
Bibi wa kwanza to wakumi nishajengea keja
Bosi mbona we hutaki nikule anasa
Saa ngapi wanipigia na niko Mombasa
Vacation nikienda nataka nile bata
Kata sim niko lit na nazidi washa
Nakublock nakudelete juu sipendi pressure
All I have to say tupatane Monday
Lakini hii weekend sitaki stress ipande
Eeh wacha tu ibambe
Eeh kazoze na katambe
Eeh wacha itubambe
Hatushindani na jirani, zero pressure
Bila guchi patipati luku safi,zero pressure
Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure
Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure
Hatushindani na jirani, zero pressure
Bila guchi patipati luku safi,zero pressure
Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure
Life ni fupi sishtuki, so hapana leta
Pressure pressure
Ukiwa na deni yangu nilipe mapema mapema
Hii ni biashara mwenzangu si ati niko na maringo
Pressure ya nini
Maisha taratibu
Nishakuambia mimi
Mimi sitaki nuksi wewe wewe we
Sitaki swara wewe we lelelele eeh eeh eeh
Written by: Edgar Israel Onyach, Elisha Opiyo Wasaga, Julius Okelo McRymboh, Ywaya Eugine Simon
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...