album cover
Naringa
album cover
Naringa은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2014년 2월 4일일에 Ben Pol에서 발매되었습니다.Ben Pol
앨범Ben Pol
2014년 2월 4일
라벨Ben Pol
언어English
BPM
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Mmh, eh
Eh, mh
Haah
Hey, eh
Mmh
Mpenzi leo nina jambo
Ninalotaka kukueleza
Nakusihi tega sikio
Eeya eeyah
Safari ya kimahaba
Katu si jambo jepesi
Zitatufika dharuba
Ila tusiwe na wasi
We ndo wangu mahabuba
Ipokee yangu nafsi
Nania kuibeba
Hilo ni jambo jepesi
Hakika napata raha
Niwapo nawe tabibu
Hata chembe ya karaha haisogei karibu
Hakika napata raha
Niwapo nawe tabibu
Hata chembe ya karaha haisogei karibu
Huuu huu, aaah aaah ah
Mi naringa ninapendwa eeeh
Tena nina furaha teleee
Nafsi imekupokea aaaah
(oh) mi naringa ninapendwa eeeh
Tena nina furaha teleee
Nafsi imekupokea aaaah
Ooooh moyo ulipatwa ajali
Maumivu nikayapata
Nikalazwa hospitali
Iitwayo mahaba, wodi yake mapenzi, dozi yake ni penzi
Na sasa nishapona, na sasa nishapona
Wodi yake mapenzi, dozi yake ni penzi
Na sasa nishapona, na sasa nishapona
Ayee, ah ah mh
Nje kuindilee, ndai nimagaumulee
Mulugu jiunenjee
Mmh
Nje kuindilee, ndai nimagaumulee
Mulugu jiunenjee
Written by: Benard Paul
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...