album cover
Mtima
10,438
Mtima은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2023년 8월 4일일에 Abbah Music에서 발매되었습니다.Above & Beyond - EP
album cover
발매일2023년 8월 4일
라벨Abbah Music
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM168

크레딧

실연 아티스트
Platform
Platform
실연자
작곡 및 작사
Platform
Platform
작사가 겸 작곡가
Abbah Process
Abbah Process
작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Abbah Process
Abbah Process
프로듀서

가사

[Verse 1]
Nina imani na busara
Japo nina mapungufu yangu ni kawaida
Ah mi mwanadamu na
Kusema nimekamilika sio sawa
Maneno ni sumu
Mdomo unaumba, unaumba
Ah bora unihukumu kama nikitenda kosa, makosa
[Verse 2]
Usiponitaka atanitaka nani my boo?
Yeah mshikaji wangu wa maisha aa ni wewe
[PreChorus]
Unajua sipo sawa (Sababu ni we)
Ata nahisi kupagawa (Sababu ni we)
Kila tunaporumbana amani sina amani sina aa
Unajua sipo sawa baby
Ata nahisi kupagawa
Kama ni kupishana
Kwenye mapenzi hivyo ni vitu vya kawaida
[Chorus]
Na kwenye mtima, pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
Mi kwenye mtima, preassure
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
[Verse 3]
Eh, na kama mwadamu kweli sijakamilika hilo naelewa
Kinachonichanganya navuruga nashindwa kuelewa
Ah, maneno mengi na vitendo nakosea nashindwa kujielewa
Kinachonichanganya navuruga nashindwa kuelewa
[Verse 4]
Na kuna muda mi naenda kushoto sitaki wakati unaenda kulia
Na kukupenda nakupenda kama nimerogwa wameniwezea
[PreChorus]
Unajua sipo sawa (Sababu ni we)
Ata nahisi kupagawa (Sababu ni we)
Kila tunaporumbana amani sina amani sina aa
Unajua sipo sawa baby
Ata nahisi kupagawa
Kama ni kupishana
Kwenye mapenzi hivyo ni vitu vya kawaida
[Chorus]
Na kwenye mtima, pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
Mi kwenye mtima, preassure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
[Outro]
Mi kwenye mtima, pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
Written by: Abbah Process, Platform
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...