album cover
Bora
12,654
Afro-Beat
Bora은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2025년 7월 2일일에 Dayoo_에서 발매되었습니다.Bora - Single
album cover
발매일2025년 7월 2일
라벨Dayoo_
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM89

가사

[Verse 1]
Ameniambia nimwache anataka furaha
Ameniambia hataki kuishi na mimi
Ameniambia level make za juu mi fukara
Cha ajabu akaniambie namchoresha eti nna sura mbaya
[Verse 2]
Mmh, moyo wangu wa kijinga hujishtaki kwake yee yeye
Mmh, kanjaza kanchota kaniacha mwenyewe
Naa, alofanya nimixi ex wangu ni yeye
Maana, ugomvi wa kuku furaha kwa mwewe
[Chorus]
Ni bora, njipende mwenyewe tu na moyo wangu
Ni bora, njipende mwenyewe tu na mama yangu
Ni bora, njipende mwenyewe ata na ndugu zangu
Ni bora, njipende mwenyewe na rafiki zangu
Ni boraa
[Verse 3]
Mmh, mapenzi yana raha yake
Mi siwezi kuwa mtumwa oh mapenzi
Mapenzi yana watu wake
Asa, mi siwezi kutumikia mapenzi
[Verse 4]
Nam, nishaumizwa, sio mara moja wala mara mbili
Nishaumizwa mpaka nikawa silii
Mmh, madonda ya tumbo yakanipeleka Mwimbili
Yote ni sababu ya mapenzi
[Verse 5]
Sa si bora nitulie, nibakie
Niutunze mwili wangu
Mola anijalie huenda na mie
Nitampata mwenzangu
[Chorus]
Ni bora, njipende mwenyewe tu na moyo wangu
Ni bora, njipende mwenyewe tu na mama yangu
Ni bora, njipende mwenyewe ata na ndugu zangu
Ni bora, njipende mwenyewe na rafiki zangu
Ni boraa
Written by: BALTAZARY ELIGY
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...