album cover
Finya
2,397
Hip-Hop/Rap
Finya은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2025년 6월 24일일에 SCAR MKADINALI에서 발매되었습니다.Finya - Single
album cover
발매일2025년 6월 24일
라벨SCAR MKADINALI
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM97

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Scar Mkadinali
Scar Mkadinali
보컬
작곡 및 작사
Churchill Oganga
Churchill Oganga
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Aress 66
Aress 66
어시스턴트 엔지니어
KEITH WARMS
KEITH WARMS
프로듀서

가사

[Chorus]
Yeah for real man you already know man
Another episode of homa zetu si same mehn for real
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza guza guza guza guza
Alafu tena finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yeah finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza
[Verse 1]
Aah ka mboga ya kienyeji managu
Nina pain waliwaitanga ma monkey ma baboon
Mickey Mouse rat, kazi ni kukaa tu
Nina spit ka woriah
Aki aki hathuu
Hii ni part one basi ngoja part two
Naeza bonga patwa don't you fuck with the crew
Pull up, pull up wid di ting deh
You know what it do
Alinilink via gram nikapandwa libido
Sidai usoo, I just wanna rap bro
She want me to fuck raw, I just wanna rap though
I don't really do blow, I just want the rapport
Ty juu ya tenje shit looking like a black board
Nikiwa Mombasa na unahate kumamako
Bros wangu vatos hoes wangu vako
I be, I be, I be with the G shit
Kuna wasee flani bila mimi watoi wao hawatadishi
So tera mos **** aonge sachi ibo tera loss ****
Nadai profit mi siwezi doz bila
Nadai nasosi hata kushinda Godzilla
Yeza, big up Mr. Ombima, mano bossy na
Bitches all over me ka chokora na mutina
Ka nyathine ohero nyasore mano copy na
I told my son, ukimada colle nakuseti loud
No hook, pure bars, ink iliisha nikichora
Ka Mejaa na Maddie wenye hawakuneed Kora
Vile nikifanya kovu siku need chorus
But madem wa Nyeri wananibeg please carr' us
Hii di*k ina insurance
Una unapigwa blue tick ukidai kujuana
By public demand naenda kuivaa
Na herb ikiland naenda ku rehab
Listen, the cops are corpse if they dare touch my dawgs
Na ku force na force hadi tufungue hizo doors
Ofcourse sikosi kikosi ya kufanya chores
Na boss ni boss ka yuko frontline kwa war
Wabunge hawaturepresent sisi hii ni crisis adi tuna cry sisi
Hamuongei mnakula na polisi oh ni discipline, you don't talk while eating
Snitch hutolewa bass ka kindiki na mswitch ma right left adi nichi
Hamwezi nishow hatuko Kilifi
Hamshikishii flow buda si miti
Alitoka akaniwacha na house empty
She needs more wood for the fire, hatosheki
I mean, nini ina rhyme na ozempic
Mmmh, these hoes ain't shit
Pia hauzeeki pia haunenepi
Ngwai rolls eighty ni kaa ni 420
Usijam juu ya side chick, baby how petty
Napark and chill nikiwakatia ma gram
Fuck na me ndio utajua kazi ya bram
You are so lucky, summer ndio mali inakam
Hapo D ndio tunachomea so carry hio bhang
Park and chill nikiwakatia ma gram
Fuck na me ndio utajua kazi ya bram
You are so lucky, summer ndio mali inakam
Hapo D ndio tunachomea so carry hio bhang
[Chorus]
Yeah for real man you already know man
Another episode of homa zetu si same mehn for real
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yoh finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza guza guza guza guza
Alafu tena finya ikikubamba unaenda nayo
Finya finya ikikubamba unaenda nayo
Yeah finya ikikubamba unaenda nayo
Huku unaeza guza guza guza guza
Written by: Churchill Oganga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...