album cover
Calling
20
Christian & Gospel
Calling은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2025년 8월 15일일에 Mozes Tz에서 발매되었습니다.Calling - Single
album cover
발매일2025년 8월 15일
라벨Mozes Tz
언어English
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM95

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Ivan Mozes
Ivan Mozes
실연자
Pwizo
Pwizo
베이스
작곡 및 작사
Ivan Mozes
Ivan Mozes
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Ivan Mozes
Ivan Mozes
공동 프로듀서

가사

Verse 1
I keep on calling
nikuache naenda wapi Kwa siku za usoni (aiiii wewee)
Nimekosea sorry moyo wangu naweka wazi
coz I am not holly Holly like you
Pema si japo pema hata ukipema tena
ila we unaweza kunitengeneza Tena
Neno lako lasema Mungu ni wa rehema
umejawa na wema nimerudi mapema (am calling you)
Kabla hajawika kokoliko kolo
ninakukana kama Petro
jumapili naimba okoro
ninaimbisha na pambio
Koko kokoliko koloo
ninakukana kama Petro
jumapili naimba okoro
ninaimbisha na pambio dady
Chorus
My dady am calling you baby
Your baby is calling you dady
My dady am calling you baby
Your baby is calling you
Versie 2
Sasa nitazitupa wid zimenichosha tu akili
sigaret dhambi za Siri nitazitupa huwezi amini
Arafu nitakuamini nitakuweka tu moyoni
nitakupenda huwezi amini nitakulaki mawinguni
Nimechoka kula na nguruwe nitarudi Kwa baba yangu
hata niwe mfanyakazi ni sawaa niwe mtumwa wake sawa
Mimi ni tai na kuku wajuwe ipo siku nitapaa
yakisha niota mabawa nitapeperusha mabawa (ohh mimi)
Kabla hajawika kokoliko kolo
ninakukana kama Petro
jumapili naimba okoro
ninaimbisha na pambio
Koko kokoliko kolo ninakukana kama Petro
jumapili naimba okoro ninaimbisha na pambio dady
Chorus 2
My dady am calling you baby
Your baby is calling you dady
My dady am calling you baby
Your baby is calling you
Is calling ahhh calling uueeh my dady
Written by: Ivan Mozes
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...