album cover
Makosa
1,925
Music
Makosa은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2025년 8월 18일일에 Trouble Music Inc에서 발매되었습니다.Makosa - Single
album cover
발매일2025년 8월 18일
라벨Trouble Music Inc
언어English
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM100

크레딧

실연 아티스트
Trio Mio
Trio Mio
실연자
SEAN MMG
SEAN MMG
실연자
YBW Smith
YBW Smith
실연자
Emmanuel Otigo
Emmanuel Otigo
베이스
작곡 및 작사
Sean Mwaniki
Sean Mwaniki
작사가 겸 작곡가
Tj Mario Cassella
Tj Mario Cassella
작사가 겸 작곡가
Anthony Osore
Anthony Osore
작사가 겸 작곡가
Hempstone Smith
Hempstone Smith
작사가 겸 작곡가
Emmanuel Otigo
Emmanuel Otigo
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Lighter ProBeats
Lighter ProBeats
프로듀서

가사

[Intro]
Kijana kija kijana
Skiza magie magie aah
[Verse 1]
Jikaze wasiseme walisema
Kichele inatafutwa na mapema
Mnacheza na kasela
Usingizi nitakaokota nikigenya
Mal*ya anajifanya ananipenda
Nikamuona nikapenya
Block nilitoka nikaacha keja
Hivo vile iko na nikasepa ibeni mkipenda
Mende viroboto chini ya meza
Moshi ni dalili ya kapienga aroma ifikie neighbour
Mtachoka kunikerekebisha
Tire inalipuka na nafungua madirisha
Uoga sinunui fika bei ya kunitisha
Na sijiexplain anaku mahali unanitikisha
[Chorus]
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Ukidhani ninajali utabaki umemakinika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Ukidhani ninajali utabaki umemakinika
[Verse 2]
Hapa kuna kosa imefanyika
Ni mpaka chee ke kesho kukatika
Itisha simu leta gode mi nitalipa
Leo nikuchachisha makosa imefanyika
Aii daily ni kuzoza mfuko zimeshona
Luku bado clean cheki ndula ni mafosa
Stima zikidim cheki bado nakulola
Na tuko masteam juu mamoshi hatujai kosa
Ukweli ni makosa ilifanyika
Ilikua ni fan na alikua anataka picha
Tukakiseti moja mbili na ikajipa
Akatufuata na si mbele kalizima na si kalizima
[Chorus]
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Ukidhani mi najali utabaki umemakinika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Ukidhani ninajali utabaki umemakinika
[Verse 3]
Ati girl ako hot utadhani cartoon
Niko kwenye mood siwezi go so soon
Na tunadunda mpaka jioni na boo
Whine ka hurricane spin ka taicoon aii
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna goshodo anataka shisha
Hapa kuna bouncer ananitisha
Pigia Trio atakuja na maninja
Amevaa lace mind yake ni stress
Vile anawhine manze ananitest ah
Body ni flex si alisare kuwa na ex
Anapenda vile mi niko niko quest ah
[Chorus]
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Ukidhani ninajali utabaki umemakinika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Hapa kuna makosa imefanyika
Ukidhani ninajali utabaki umemakinika
Written by: Anthony Osore, Emmanuel Otigo, Hempstone Smith, Sean Mwaniki, Tj Mario Cassella
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...