album cover
Matunzo
2,112
Music
Matunzo은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2025년 8월 29일일에 WCB Wasafi에서 발매되었습니다.Matunzo - Single
album cover
발매일2025년 8월 29일
라벨WCB Wasafi
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM156

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
D Voice
D Voice
보컬
작곡 및 작사
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
GOOD MASTER
GOOD MASTER
프로듀서

가사

[Chorus]
Oya zingatia
Wivu uendane na matunzo
Ndugu yangu zingatia
Wivu uendane na matunzo
[Verse 1]
Hakikisha unayemuonea wivu unamuhudumia
Unampa matunzo na shiringi
Sio unamuonea wivu na haumpi hata mia
Unaonekana pimbi
[Verse 2]
Ooh maana bila hela pisi huzigusi
Wivu bila matunzo uchawi na nuksi
Sio kwamba nakudharau au matusi
Ila wivu uendane na fulusi
[Chorus]
Zingatia
Wivu uendane na matunzo
Ndugu yangu zingatia
Wivu uendane na matunzo
[Chorus]
Oya zingatia
Wivu uendane na fulusi
Ndugu yangu zingatia
Wivu uendane na matunzo
[Verse 3]
Na watu mjini siku hizi wanataka fedha
Sio ganda la ndizi kuterezaa
Oya ukitaka vizuri wekeza
Vinoti noti kodi ya meza
[Verse 4]
Ukitaka mti unawiri sharti umwagilie
Ukitaka vizuri na uvigaramie
Nakwambia kwa herufi kubwa ndugu yangu usikie
Hudumia vizuri ndio shoo ukamie
[Chorus]
Oya zingatia
Wivu uendane na matunzo
Ndugu yangu zingatia
Wivu uendane na matunzo
[Chorus]
Oya zingatia
Wivu uendane na matunzo
Ndugu yangu zingatia
Wivu uendane na matunzo
[Outro]
Aya sasa gusa pale weka kule tuondoke
Leo halali mtu tunakesha wote
Gusa pale weka kule tuondoke
Leo halali mtu tunakesha wote
Written by: Abduli Hamisi Mtambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...