album cover
Obimo
album cover
Obimo은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2025년 9월 12일일에 HITBOY ENTERTAINMENT에서 발매되었습니다.Obimo - Single
Released2025년 9월 12일
라벨HITBOY ENTERTAINMENT
BPM117
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

[Verse 1]
Thumpasi hai, I can't deny
Ukuniacha nitalia, mi mwenzako nishaumia
You make my heart kolo, speed inanipa golo
Na ukiniacha nitalia, oh my sweet my dear
Aah ninavyo kupenda baby, we unajua
[Verse 2]
Na kama maji umezamisha, mashua
We ndo nakuwazaga, we ndo nakupendaga
We ndo unae niwezaga, we ndo unaniliwaza
[Verse 3]
Ooh your my baby
My sweet, fanta banana
And I'm ready
Ukamwone baba na mamaa
[Verse 4]
And your my baby
My sweety, fanta banana
And I'm ready
Ukamwone baba na mama aah
[Chorus]
Your my baby, my sweet boo (My obimo)
My darling (My obimo)
Obimo (My obimo)
Mmh mmh (My obimo)
Roho yangu (My obimo)
Kipenzi changu (My obimo)
Obimo (My obimo)
Mmh mmh (My obimo)
Ah, you my sweety my baby boo (My obimo)
Moo (My obimo)
Obimo (My obimo)
Mmh mmh (My obimo)
My obimo
Kipenzi changu (My obimo)
Mmh mmh (My obimo)
Shee (My obimo)
[Verse 5]
Una kasura gani, mbona uishi kunivutia
Ooh ooh uishi kunivutia, aah aah
Umacho fulani, napendaga ukiniangalia
Ukiniangalia ooh
[Verse 6]
Si unapenda kuchanganya, medula
Uchachu ndimu, kunichachua
Maneno yako, unaniambia
Siwezi kula, kabla ya kula
[Verse 7]
Hapo ndo nimetambua
Kuna vingi chini ya jua
Kwa maana, hili penzi jingi sana
[PreChorus]
Ooh your my baby
My sweet, fanta banana
And I'm ready
Ukamwone baba na mamaa
[PreChorus]
And your my baby
My sweety, fanta banana
And I'm ready
Ukamwone baba na mama aah
Obimo (My obimo)
Nono nono (My obimo)
Momo momo (My obimo)
Oh lala la (My obimo)
Oh sweety oh (My obimo)
Oh lolo lolo (My obimo)
Oh nono nono (My obimo)
Aah (My obimo)
Sweety my baby oh (My obimo)
Mmh (My obimo)
Nono nono (My obimo)
Mmh mmh (My obimo)
My baby oh (My obimo)
Sweety oh (My obimo)
Nono nono (My obimo)
Aah (My obimo)
[Outro]
Asa hebu ona uwo mnazi (Unakatika)
Uwo mnazi (Unakatika)
Uwo mnazi (Unakatika)
[Outro]
Jamani oneni uwo mnazi (Unatika)
Uwo mnazi (Unakatika)
Uwo mnazi (Unakatika)
Uwo mnazi (Unakatika)
Ukitaka kukatika uwo mnazi (Unatika)
Jamani mnazi (Unakatika)
Uwo mnazi (Unakatika)
Aya mnazi
On aya mnazi (Unakatika)
Jamani mnazi (Unakatika)
Mmh mnazi (Unakatika)
Aya mnazi (Unakatika)
Written by: Benjamin Paul Mwenda, Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...