album cover
Hapana
6,418
Music
Hapana은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 1월 16일일에 Wings Music Label에서 발매되었습니다.Hapana - Single
album cover
가장 인기 있는
지난 7일
01:00 - 01:10
Hapana은(는) 지난 주에 약 1 분 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.
00:10
01:00
02:20
00:00
02:43

가사

Mmmh aaah
Tafadhali naomba usinipende mimi na ujipende wewe babe
Wazuri wapo wengi sana wanaupendo wa kweli na wanajua kupenda babe
Mi kupenda nilichelewa na story za mapenzi sizijui sana
Najua hautonielewa na hata nayoongea yatakuchanganya
Unaweza ukanifunza kupenda alafu nikaja nikapenda we ukaja niumiza moyo
Maana nishawaona wakitendwa walopenda wasikopendwa hayo mambo siyawezi no
Me kupenda nilichelewa na story za mapenzi sizijui sana
Mwenzako nilipolelewa kuhusu nitakudanganya
Na ndio maana naona
Hapana hapana
Me na wewe hatuwezi kuwa
Hapana hapana
Maana moyo wangu naujua
Hapana hapana
Me najua nitakusumbua
Hapana hapana
Oooh oouuh yeah
Me najua kua mapenzi kupendana watu wawili kushibana
Ila naona vimegoma moyo na akili
Sio kama sijakupenda tatizo mkipendwa mnabadilikaga mioyo
Maana nishawaona wakitendwa walopenda wasikopendwa hayo mambo siyawezi no
Me kupenda nilichelewa na story za mapenzi sizijui sana
Mwenzako nilipolelewa kuhusu nitakudanganya
Na ndio maana naona
Hapana hapana
Me na wewe hatuwezi kuwa
Hapana hapana
Me najua nitakusumbua
Hapana hapana
Hapana no hapana no
Hapana hapana
 
If you know you know
Kumana boy
Mmmh…..
Written by: Moe Willie
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...