album cover
Chunga
11,566
Afro-Beat
Chunga은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2026년 1월 13일일에 Chamazi Music에서 발매되었습니다.Chunga - Single
album cover
가장 인기 있는
지난 7일
03:25 - 03:30
Chunga은(는) 지난 주에 약 3 분 and 25 초 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.
00:00
00:05
00:20
00:35
00:55
01:30
01:45
02:00
02:10
02:15
02:25
02:50
02:55
03:10
03:25
03:45
04:05
00:00
04:12

크레딧

가사

Am Tiffah Devoice
Mozee VIbes
Mwanzo wa mapenzi nilikua najidai
Kirangaa Koma umenimwaga kama chai
Bila sababu penzi langu ukalimaindi
Japo ukumbuke kuna siku Ulifurahi
Mara Moja kukosa mitihani
Naomba ukumbuke kua mola ndo mpaji
La kwangu fungu limekumbwa na zohari
Elewa changa moto umaskini sio kipajii
We maji mkononi huwezi kuyashika
Na mimwanadamu si malaika
We kabla hujafa hujaumbika
Nitunzie mazaifu yangu oooh
Penzi lilinikaba kama tai
Japo uliniaidi mi nawe till i die
Penzi ukalimwaga kama chai
Nami nazima data adi WiFi
Mwenzako mi muungwana si mshamba wa mapenzii
Nikawaida tu kukosana nasikuleta uchochezii
Ooohh
Mwenzako me muungwana si mshamba wa mapenzi
Nikawaida tu kukosana na sikuleta uchochezii
Nami nawasha moto (chunga chunga)
Usichochee makaa (chunga chunga)
Twachane salamaa Mimi na wewe (chunga chunga)
Nisifufue balaaa(chunga chunga)
Usiwashe moto (chunga chunga)
Usichochee makaa (chunga chunga)
Twachane salamaa Mimi nawewe (chunga chunga)
Usifufue balaaa(chunga chunga)
Aaaa aaa ooohhh
Ulitaka vitu vingi unajuaa
Ila ukweli ukuvipata najua
Ila we nguvu ya mapenzi subraa
Uwenda tunge pata pamoja
Najua kila ulichotaka ulipaata
Japo ilikua sio kwa wakati ule ulotaka haya
Ukafata mapesa ma noti watu wale wenye Lamborghini
Ukaniacha vibaya aaaahh
Mwenzako mi muungwana si mshamba wa mapenzii
Nikawaida tu kukosana nasikuleta uchochezii
Ooohh
Mwenzako me muungwana si mshamba wa mapenzi
Nikawaida tu kukosana na sikuleta uchochezii
Nami nawasha moto (chunga chunga)
Usichochee makaa (chunga chunga)
Twachane salamaa Mimi na wewe (chunga chunga)
Nisifufue balaaa(chunga chunga)
Usiwashe moto (chunga chunga)
Usichochee makaa (chunga chunga)
Twachane salamaa Mimi nawewe (chunga chunga)
Usifufue balaaa(chunga chunga)
Am Tiffah Devoice
Mapozi Familly eehh
Aaah na Baba Feisali
Yeah
Kill vibes From Moses
Written by: Ismail Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...