album cover
Natulia
6,268
Afro-Pop
Natulia은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 5월 29일일에 Sony Music Entertainment East Africa에서 발매되었습니다.My Way
album cover
가장 인기 있는
지난 7일
00:40 - 00:45
Natulia은(는) 지난 주에 약 40 초 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.
00:00
00:15
00:40
00:45
00:50
01:00
01:15
01:30
01:40
01:50
02:05
02:15
03:20
00:00
03:39

뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Aslay
Aslay
실연자
작곡 및 작사
Aslay
Aslay
가사
프로덕션 및 엔지니어링
John Hamisi Misana
John Hamisi Misana
프로듀서

가사

[Verse 1]
Swala sio tu kunipa tendo
Ila ulinifunza upendo
Wallahi ukiniacha nitadata nitadata
Na vile ulikuwa na malengo
Leo naitwa baba mjengo
Wallahi ukiniacha nitakufa aaaah aaah
Kitabu nimefunga cha mapenzi
Ulimbo nimenasa kwako
Dereva mi ndo konda nipeleke baby
We ndo chief wa himaya yangu
Nitake nini cha zaidi vipi niwe mkaidi kwa mwengine siendi
[PreChorus]
Ukitandika kitanda mie busy kula karanga
We Simba mi Yanga
Njoo tulicheze kandanda
Ukinivalishaga gwanda
Nawajibika kama kamanda
Sishukangi nikipanda twakitikisa kibanda
[Chorus]
Na nimeshaapa natu natulia
Natu natulia natu natulia na wewe
Kwengine nitake nini
Natu natulia
Natu natulia natu natulia na wewe
Napata ninachotaka
Natu natulia natu natulia
Natu natulia na wewe
Maskini mimi
[Verse 2]
Mate ya kumeza mimi sina ya kutema nitayatoa wapi
Nimeshafika kwenye kina kukuacha nitaanzia wapi
Kochi la moyo wangu nakupa kalia baby kama zawadi
Nakutunukia mapenzi
Kwa raha zako adimu kama Maasai mwenye kidensi
Ushanitia wazimu kwa ndugu zangu utajibu kesi
Penzi umelitia nini unanichachua mpaka nasweat
Tuiweke kumbukumbu neno kuachana iwe tetesi
Kama mapezi ni usafi basi kwako nishavunja kabati
We ni tye mi ni shati bila wewe sitaki mama
[PreChorus]
Ukitandika kitanda mie busy kula karanga
We Simba mi Yanga
Njoo tulicheze kandanda
Ukinivalishaga gwanda
Nawajibika kama kamanda
Sishukangi nikipanda twakitikisa kibanda
[Chorus]
Na nimeshaapa natu natulia
Natu natulia natu natulia na wewe
Kwengine nitake nini
Natu natulia
Natu natulia natu natulia na wewe
Napata ninachotaka
Natu natulia natu natulia
Natu natulia na wewe
Maskini mimi
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...