album cover
Sema
album cover
Sema은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 5월 11일일에 Zion Njeri에서 발매되었습니다.Sema - Single
2026년 5월 11일
라벨Zion Njeri
BPM179
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Ndugu zangu wameshindwa kusema na Moyo wangu
Rafiki Zangu Wameshindwa kusema na Moyo Wangu
Huu Mzigo Ni Mzito natamani utua
Siwezi pekee yangu mi nalemewa
Kwangu hali nitete Mungu wewe unajua
ili mimi nifike nahitaji mkono wako
Kwa Akili zangu nimeshindwa
Mawazo Yangu Nimeshindwa
Ukisema Mungu Nitapona
Maana wee ndio muweza(X2)
Nami Natamani kufika pale ila nashindwa
Nami Natamani kuinuliwa ila naona giza
Nimechoka kuchekwa
Nimechoka kudharauliwa
Nimechoka Madeni
Nimechoka kusemwa vibaya haah
Huwa nakaa kimya hata kwa vile ninavyo vifahamu
Naamini ukimya aah utaniletea tabasamu maana wanaonizunguka ndio wanaozusha mimi najiepusha nao kwenye shida wala siwaona ila kwa raha wa kwanza ni wao
Kwangu hali nitete Mungu wewe unajua
ili mimi nifike nahitaji mkono wako
Kwa Akili zangu nimeshindwa
Mawazo Yangu Nimeshindwa
Ukisema Mungu Nitapona
Maana wee ndio muweza (X2)
Written by: Zion Njeri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...