album cover
Roho
album cover
Roho은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 5월 29일일에 Five8에서 발매되었습니다.Roho - Single
Released2026년 5월 29일
라벨Five8
BPM101
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Kitu nadu bro inataka roho
Juu adi kwa biz mabro waneaka
Adi kwa magroupie wanaeka roho
Unajifanyia morio wa me na support
But hio haezi fanya nikose kutoka block
Sijabuy shake bado ninaplot
Najua Yangu inamwok sina shapre siezi force
Maboss hawabongi basi mbona mnatalk
Ati Ganji ndio inabonga na naskia ukitalk
Ground ni nare ilibidi ni adopt
Niko kwa mission na Siezi abort
Sijaitegemea msee mi hukuwaga nimejisort
Niko kwa highway Anaku sign ya kustop
Mafans wanategea ni drop
Mahater wanategea ni fall
God Coachare so naendelea kuball
Mawannabe kwa mneti wakiendelea kutroll
Wako mneti wanastalk mi natry kubuy stock
911 minadai kubuy Porsche
925 silver platter mi nadai maisha poshh
Wasupa wao wako zile gosh
Wana blow me a kiss utadhani mi dosh
Smoke opp mgeuze roch
Napenda kufunza Adabu kwa watoi hawackuchop
Mi ni mdabus kwetu mi ndio pops
Fed Anadai kunishika juu ya crop
 
Ma bro waligeuka ma snake
Skuizi wana hembetate
Na vitu nimedu nacheki wana imitate
Daily na mind biz yangu na inawa irritate
Hawaezi to shea kwa njumu zangu bro hawaezi relate
Walikuwa wana dance kwa hall nikirap kwa stage
Nipatieni 100b mkae na fame
Written by: Jayson Okanda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...